Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

Pole sana wanaofikiria kuwa Samia ndiye mtu wa kuleta mabadiliko ya kuleta mifumo ya haki.
snake-paradise-giving-apple-fruit-600w-1710548911.jpg

Eva akimpa Adam tunda, ndipo tulipo
 
Mkuu tunashukuru kwa taarifa hii , Bali kesi hii inamhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe na wenzake watatu , nimeona Mara zote unaandika CHEDEMA , sasa sijui unaikopi mahali kila siku au ni vipi , lakini mara zote pia inashangaza kwa Mtukufu Moderator kutokuona tatizo hilo
 
Maamuzi haya yalijulikana toka mwanzo. Anatimiza alichoagizwa
Kwa hiyo humo mahakamani mnatafuta nini?
Mnajikakamua na jaji wenu kushindana na HAKI. Hakuna mwanadamu Wala malaika alishindana na HAKI AKASHINDA. Jaji Ni mpuuzi tu Kama wewe. Uwezi kusema nimeamua. Umeamua ndiyo kitu gani?. Hapo sheria na kanuni kaweka pembeni anatumia utashi wake tu. Jaji Ni zezeta sana alipaswa asema kwa mujibu wa Sheria mahakama inaamua hivi au vile. Alafu mbwa Kama huyu akifa utalaumu vipi watu kushangilia? Maana watu wataona Mungu kawaondokea teso katika maisha yao.
 
Mimi sitafuatilia hii kesi! Nitangoja Hukumu ya MWISHO ya Mahakama!
Hukumu inaweza kuwa chachu ya mabadiliko. !! CCM wasifikiri wapo salama sana kwenye maamuzi ya hii kesi ya kisiasa.
 
Hukumu inaweza kuwa chachu ya mabadiliko. !! CCM wasifikiri wapo salama sana kwenye maamuzi ya hii kesi ya kisiasa.
Sasa hivi hata mahakama za chini zinaiga mahakama za juuu zinavyoamua kwa upendeleo,hata mahakama za chini huko ni vilio na uonevu wa waziwazi haya anayofanya jaji yanaathiri mpaka mahakama za chini mahakimu wanaamua jinsi wanavyotaka
 
Hii kesi ni CCM na vyombo vyake HARAMU dhidi ya ustawi wa demokrasia nchini, hawatafika popote.
 
ni mbaya sana hii kitu, hukumu za hivi zikitumika kama kielelezo huko mbeleni zitaumiza wengi sana.
 
ni mbaya sana hii kitu, hukumu za hivi zikitumika kama kielelezo huko mbeleni zitaumiza wengi sana.
Kwa mtu asiyeelewa ndio atashabikia huu ujinga unaofanywa na hawa majaji kwa sababu za kisiasa,haya yanayoendelea yanaathiri mahakama zote sasa hivi mahakimu wana viburi wanaamua kesi wanavyotaka kwa vile wanaona huko juu wanavyofanya
 
Kwa sasa mfumo mzima wa mahakama umeoza.

Reasoning ya majaji wenyewe, ni aheri ya mahakimu wa mahakama za mwanzo enzi za Nyerere.
 
Hii kesi ni CCM na vyombo vyake HARAMU dhidi ya ustawi wa demokrasia nchini, hawatafika popote.
yes, ni muda sasa kwa wapenda demokrasia kote Tanzania kuungana kwa pamoja na kupinga uharamu huu unaotaka kufanywa na serikali ya CCM kudhoofisha mawazo chanya ya Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.
 
Kwa sasa mfumo mzima wa mahakama umeoza.

Reasoning ya majaji wenyewe, ni aheri ya mahakimu wa mahakama za mwanzo enzi za Nyerere.
Kigezo cha kwanza kabisa kabla ya kuteuliwa kuwa JAJI wa mahakama Kuu ni LAZIMA uwe KADA kidakindaki wa chama cha mapinduzi., kwa hiyo ndugu zangu haya maamuzi ya huyu Jaji huyu wala yasiwashangaze saana.
 
Kwa sasa mfumo mzima wa mahakama umeoza.

Reasoning ya majaji wenyewe, ni aheri ya mahakimu wa mahakama za mwanzo enzi za Nyerere.
Mfumo wa Mahakama umeoza, kule bungeni ndo kabisaaaaa, Sasa tunafanyaje?
 
Back
Top Bottom