Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

HEE, KUMBE HII KESI YA MCHONGO WALIOCHONGA NI URIO, BOAZ NA KINGAI, TENAS OFISINI KWA DCI BOAZ. HALAFU WALIVYO MASHETANI WAKAWATAFUTA VIJANA WA WATU AKINA ADAMOO KUWAINGIZA WATOTO WA WENZAO KWENYE MCHONGO WAO. HII DHAMBI ITAWATAFYNA HADI MWISHO WA MAISHA YAO.
 
Kama ni kweli, mbowe alibugi sana,, inakuaje bigboss unahusika direct ku recruit watu wa kuffanya uhalifu tena unatumiana simuzako kuwasiliana?
Hakuna ushahidi wowote ule kuwa Mbowe anahusika direct ku recruit watu wa kufanya uhalifu.

Yani yeye na Urio ambaye alimkaushia baada ya kumpatia hao wanajeshi ndiyo walikuwa wanafahamu kuwa wanajeshi wale walikuwa wanaenda kufanya uhalifu. Otherwise, wenyewe walikuwa wanajuwa wanaenda kufanya kazi ya ulinzi.

Sasa Urio ametoa ushahidi gani ambao ni credible unaoonyesha kuwa yeye na Mbowe ndo walipanga kufanya uhalifu?

Maana hata hiyo kesi inayoitwa ya ugaidi siioni hadi usawa huu, achilia mbali Mbowe kupanga huo ugaidi directly.
 
JAMANI HII KESI NAWEZA KUIFUATILIA CHANNEL GANI KWENYE TV(RUNINGA)
 
Hii kitu hata enzi za akina mohamed Tamimu kutaka kupindua nchi,, mpango ulifahamika miezi kadhaa kabla, na group likawa inflitrated,,
Normal procedure jomba...
hawawezi kukuelewa hawa mkuu
 
Mkuu jmushi1
Mashahidi wa mashtaka hawana muunganiko. Wanapingana pingana sana...
Tuwasubiri akina Adamoo watakavyorarua na kuruka ushahidi wa Kingai na kundi lake la "Wasiojulikana"
 
Unaniambia mimi au Mbowe??
 
Hii kitu hata enzi za akina mohamed Tamimu kutaka kupindua nchi,, mpango ulifahamika miezi kadhaa kabla, na group likawa inflitrated,,
Normal procedure jomba...
Sawa kama hivo ndugu yangu! Ngoja tungoje hitimisho la Mahakama.
 
Kwa hyo baada ya kuteswa ndo urio akampigia Simu DCI boaz?
Simple tu,hukusikia awali kwenye kesi ndogo akina Adamoo wakisema walimuona Urio akiteswa?Kumbuka hii ni kabla ya ushahidi huu wa Urio!
Kesi hii ulifuatilia Toka mwanzo na hukukosa hata siku Moja?
 
Ukweli mweupe halafu kuna watu humu hawauoni
 
Sasa mnachobisha nini?
wakati mbowe na ulikuwa walikuwa wanapanga kutafuta vijana kwa ajili ya kufanya matukio ya ugaidi .kulipua vituo vya mafuta,kuchoma masoko,kufanya nchi isitawalike n.k
Anatoka vipi hapo?
Mjiulize na nani sasa tena? Kwamba hujayasikia majibu ya Urio au kichwa chako ni kama tikiti maji tu?
 
Unanfasi mbili- ama uwe shahidi au uwe wakili badala ya Kibatala ila hutaweza muokoa Mbowe
 
Huwezi mfunga mtu kwa ushahidi wa hovyo kama huu - takataka...aibu kwa serikali ya CCM.

Urio so far hajatoa evidence yoyote kuthibitisha anachokiongea - tarehe hakumbuki, hotel alizoitwa na Mbowe hazijui..yaani ushahidi unaoelea kaa boya.

Hakuna Jaji duniani anaweza kumfunga mtu kwa ushahidi huu hata kama akiwa ni adui wa mshitakiwa atashidwa.
 
Urio mtu mbaya sana. Amewaangushia jumba bovu makomandoo wenzake. Walikuwa wanajifanyia shughuli zao zingine tu baada ya utumishi wao kukoma.

Polisi na huyo mchaga urio wamefanya setup ya hii kesi. Mimi sijui mambo ya sheria lakini ninaona hii kesi haina uhalisia.

Nina imani kwenye hukumu hawa makomandoo wataachiwa huru.

Mlengwa mbowe pia Mungu anaweza kutenda miujiza akaachiwa huru. Hasa kama urio atashindwa kuthibitisha mipango kwa ushahidi wa maandishi au sauti iliyorekodiwa.

Hii kesi wala haina mvuto, bali inaumiza.

Mchaga urio amezingua sana.hivi jeshi la wananchi linawezaje kuwa na mtu kama huyu?

Afu polisi si naskia walimbinya pumbu na yeye? KwA nini sasa?[emoji3][emoji3]
 
Kilichompumbaza Mbowe ni kuamini "mchaga" mwenzake hawezi kumsaliti kwa chasaka!

Hakujua ukienda kule unaikana hadi familia!

Tujifunze hapa, ukabila haulipi.
 
kipi kilichoanza kutokea kuteswa kwa urio.
Au urio kumpigia Simu DCI boaz kumwambia mipango ya mbowe?
Simple tu,hukusikia awali kwenye kesi ndogo akina Adamoo wakisema walimuona Urio akiteswa?Kumbuka hii ni kabla ya ushahidi huu wa Urio!
Kesi hii ulifuatilia Toka mwanzo na hukukosa hata siku Moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…