Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake


Hizo msg za Telegraph zipo?
Call logs history za whasap zipo?

Kwakua alikua anaripoti kwa Kingai, atakua anamtumia hizo screenshot...
Zipo mahakamani?
 
Duh! Hii nchi ina watu.
 
Hivi naye atapanda yeye kama yeye au sio daah sijui lini hiyo
 
Acha ufala mzee,aikusaidii chochote?chief alisema wenzake wamehukumiwa,we unawajua waliohukumiwa?Mungu yupo na anaona ata anko alikuwa jeuir hv hv now Yuko Jahanam anaungua
 

Hili hoja ungemtumia Kibatala amulize Shahidi....

Hoja mzuri sana
 
Lazima jeshi la polisi liliweka back-up plan ndiyo sababu wakanaswa mapema kabla ya kutekeleza tukio kule Moshi. Hujui kusoma siku hizi, au?
 
1. Kuleta taharuki
2. Kukata miti na kusababisha uharibifu kwenye miji na majiji makubwa
3. Kulipua vituo vya mafuta
4. Kuwadhuru viongozi

Huoni kwamba vijana wa FM waliwekwa kwenye 18 wakiwa wameanza kutekeleza mojawapo ya mbinu hizo chafu?
 
Aliyetengeneza hyo kesi ni mbowe mwenyewe.
Anapiga simu kwa namba binafsi,akipigiwa apokei,anatuma hela kwa njia ya wakala.
Kwanini alikuwa anajificha ficha mawasiliano yake na urio?

Hizo namba alizokua anapigia na mbowe amvazo sio zake shahidi alimpa Kingai?

Kumbuka aliambiwa awe anaripoti kwa Kingaki matukio yote...

Kwakua mbowe alikua anatumia namba za watu, hao watu walimamwatwa kutoa ushahidi kwa simu zao kutumiwa mbowe?
 
Rejea,Baada ya kuwapata kina Adamoo alikata mawasiliano kabisa na Urio!
Urio akaanza kuwatafuta kina Bwire!Wakati Huo wote hana mawasiliano na Mbowe!
Kwenye cross examination mtajua hamjui!
 
Hivi hawa waandaa mashtaka wanatuona watanzania wote ni wajinga, yaani Mbowe aandae kufanya ugaidi na watu asiowajua, kwamba atafutiwe watu wa kufanya ugaidi na mtu kisa ni makomandoo, Mbona hayo ya kukata miti, kuchoma vituo vya mafuta, kumuua Sabaya haviihitaji ukomandoo, Mbowe ana wafuasi lukuki nchi nzima tena wale royal ashindwe kuwatumia kufanya huo ugaidi awategemee makomandoo ambao hata hawajui na hajui mwelekeo wao kisiasa.

Turudi kwa Dci, apewe taarifa nzito kama hii ya kutenda ugaidi na kuhatarisha amani na usalama wa nchi akae kimya na kumuachia huyo Urio kutafuta hao watu na kuwa peleka kwa Mbowe, nchi hii ina vyombo vingi vya ulinzi na usalama walishindwa nini kuchukua watu wao wakawapeleka kwa Mbowe hadi wakamuachia kazi hiyo Urio?

Ushahidi wa Urio unaungwa mkono na ushahidi upi wa kielectroniki?
Wanatumia kodi zetu vibaya.
 
1. Kuleta taharuki
2. Kukata miti na kusababisha uharibifu kwenye miji na majiji makubwa
3. Kulipua vituo vya mafuta
4. Kuwadhuru viongozi

Huoni kwamba vijana wa FM waliwekwa kwenye 18 wakiwa wameanza kutekeleza mojawapo ya mbinu hizo chafu?
Hizo kazi zote zingefanywa na hao watu 4 tu, tena watu ambao umeletewa.
 
Utajuaje kama hayo ni kweli?Kama ni story tu iliyotengenezwa?
 
Kiunganishi ni bwire,, akikiri tu kosa imekula kwa mr chairman
 
Kilichompumbaza Mbowe ni kuamini "mchaga" mwenzake hawezi kumsaliti kwa chasaka!

Hakujua ukienda kule unaikana hadi familia!

Tujifunze hapa, ukabila haulipi.
Kakake mbowe alikuwa mjeshi mkubwa tu, mungu amrehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…