mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
It means FM asingemtafuta Lt. Urio, leo tungekuwa na mada zingine kabisa!
Hakuna ugumu hapo mipango ya uhalifu ithibitishwe na sio story za alfa lela ulelaNdo maana nasema mbowe na kamanda urio ndo wanajua ukweli.
Sasa Basi ili mbowe aonekane hakuwa na urio.
Inatakiwa AMKANE URIO KUWA HAMJUI.
Na kumbuka hapo hapo mbowe alikuwa anampigia simu kamanda urio,na miamala ya fedha alifanya.
KESI NGUMU HII
Hakuna ugumu hapo mipango ya uhalifu ithibitishwe na sio story za alfa lela ulela
Aisee hii JF ya sasa ime jaa vilaza sio poa
mjingamimi
comte
Hizi ndo zile njemba zilikua zina zungusha class si ajab hata kweny maisha ni 0000
Kama kulikuwa na elements za kuhujumu nchi ni dhahiri urio anahusika na kwa vyovyote walikuwa marafiki wa muda mrefu na Mbowe. Urio hasemi ukweli hata chembe ikiwa ugaidi upo.Urio na DCI Boaz wote ni wa upande wa mashtaka,kama wameamua kubambika kesi basi wanaweza kusema hata uongo!
Huenda hata hiyo simu haikuwahi kupigwa!Utajuaje?
Mataga akili wanakuaga nazo tangu lini mkuu?Elungata unaweza kuwa mjinga kiasi hiki?
Inashangaza Sana.
Nilishazi block mapema sana.Aisee hii JF ya sasa ime jaa vilaza sio poa
mjingamimi
comte
Hizi ndo zile njemba zilikua zina zungusha class si ajab hata kweny maisha ni 0000
Hata kwa 32 dimension, the whole thing does not add up. Kama akina Adamoo wangekuwa State witness then fine .... siyo huu mchezo waliowafanyia.Hivi isingekuwa FM kumtafuta ^Homeboy,^ sasa hivi wangekuwa mahabusu? Think in all 16 dimensions!
Username yako tu una jiita Mjinga sasa utakua na akili kweli wewe?tatizo hautaki kutumia AKILI japo kidogo.
unaendeshwa na mihemko
Ugumu unauona wewe tu. Swala hapa siyo kufahamiana na messege za X-mass wishes bali ni kuthibitisha beyond reasonable doubt kuwa walikuwa wanapanga kufanya ugaidi. Akina Adamoo tayari wamesema waliambiwa wanakwenda kufanya kazi ya VIP protection na Urio tayari kasupport kwa kusema aliwambia kuna kazi hiyo wanatakiwa kuifanya.Ndo maana nasema mbowe na kamanda urio ndo wanajua ukweli.
Sasa Basi ili mbowe aonekane hakuwa na urio.
Inatakiwa AMKANE URIO KUWA HAMJUI.
Na kumbuka hapo hapo mbowe alikuwa anampigia simu kamanda urio,na miamala ya fedha alifanya.
KESI NGUMU HII
Tena unampa makomandoo waliofukuzwa kazi. Kuna mahali alisema aliwatahadharisha kuwa walikula kiapo hivyo wasikiuke kiapo kama askar i kuna mchanganyiko aisee.Yaani hizi mambo zinachekesha sana sometimes. Walikuwa tayari kuumiza watu kirahisi tu. Yaani mtu kapanga makubwa namna hiyo halafu mnampa na watu wa kutekeleza kirahisi tu na ufuatiliaji wa kimaandazi namna hiyo. Hivi kama watu wako serious si wanafanya tukio na kutokomea? Anaulizwa ulifanya mawasiliano tena na yule aliyebaki Dar? Eti sikuona haja kwa sababu wale wengine wameshakamatwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa nini hata hakirekodiKesi ya michomgo itaenda kutisha kesho
Urio hana ushahidi zaidi ya miamala ya Airtel na tigo,
Au kusema niliahidiwa kupewa cheo ndo ushahidi?
Nyeti unazijua wewe?Naanza kuamini hizi kazi za ulinzi Akili Kidogo nguvu nyingi. Huyu afande urio anafunua nyeti za jwtz
Ningewaelewa kama wangeamua kupeleka ma kachero wa polisi kama ndiyo makomandoo maana naamini Mbowe alikuwa hawajui. Na hapo ingekuwa rahisi kufuatilia kila kitu. Sasa mnaruhusu vipi apelekewe makomandoo halisi na ufuatiliaji wa kijinga namna hiyo? Kama siyo michongo ni nn sasa?Tena unampa makomandoo waliofukuzwa kazi. Kuna mahali alisema aliwatahadharisha kuwa walikula kiapo hivyo wasikiuke kiapo kama askar i kuna mchanganyiko aisee.
unataka nikufafanulie au ??Nyeti unazijua wewe?
Hao ni kuwapuuza ukiwajibu unapoteza muda tu.Aisee hii JF ya sasa ime jaa vilaza sio poa
mjingamimi
comte
Hizi ndo zile njemba zilikua zina zungusha class si ajab hata kweny maisha ni 0000
Hivi naye atapanda yeye kama yeye au sio daah sijui lini hiyo