Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

Mimi nashindwa kuwaelewa Hawa jamaa.

Hata akili ya kuwaza kidogo tu Hawana.

Wanashindwa kujiuliza Kama mbowe na kamanda urio wanajuana,je walikuwa wanakaa vikao,alishawahi kumtumia hela,za kazi gani?

It means FM asingemtafuta Lt. Urio, leo tungekuwa na mada zingine kabisa!
 
Ndo maana nasema mbowe na kamanda urio ndo wanajua ukweli.
Sasa Basi ili mbowe aonekane hakuwa na urio.
Inatakiwa AMKANE URIO KUWA HAMJUI.
Na kumbuka hapo hapo mbowe alikuwa anampigia simu kamanda urio,na miamala ya fedha alifanya.
KESI NGUMU HII
Hakuna ugumu hapo mipango ya uhalifu ithibitishwe na sio story za alfa lela ulela
 
Aisee hii JF ya sasa ime jaa vilaza sio poa
mjingamimi
comte
Hizi ndo zile njemba zilikua zina zungusha class si ajab hata kweny maisha ni 0000
 
Ugumu upoo.
Maana mbowe na kamanda urio walikutana mikocheni.
Wakapanga mipango.
Ndo maana nasema ili mbowe aonekane Hana hatia anatakiwa kwanza AMKANE URIO KUWA HAMJUI Wala hamfahamu.
Vinginevyo sioni mbowe akichomoka.
Hakuna ugumu hapo mipango ya uhalifu ithibitishwe na sio story za alfa lela ulela
 
Urio na DCI Boaz wote ni wa upande wa mashtaka,kama wameamua kubambika kesi basi wanaweza kusema hata uongo!
Huenda hata hiyo simu haikuwahi kupigwa!Utajuaje?
Kama kulikuwa na elements za kuhujumu nchi ni dhahiri urio anahusika na kwa vyovyote walikuwa marafiki wa muda mrefu na Mbowe. Urio hasemi ukweli hata chembe ikiwa ugaidi upo.

Hayo mambo ya kulipana nauli kisha umweleze mipango hatari kama hii haiwezekani. Ama yeye ndiye gaidi au ni mfitini tu.

Mtu akwambie live kuwa anataka nchi isitawlike kwa kukulipia tu nauli. Labda ailipewa kitita cha dola na hasemi ukweli. Bila hivyo ni muongo tu.
 
Hivi isingekuwa FM kumtafuta ^Homeboy,^ sasa hivi wangekuwa mahabusu? Think in all 16 dimensions!
Hata kwa 32 dimension, the whole thing does not add up. Kama akina Adamoo wangekuwa State witness then fine .... siyo huu mchezo waliowafanyia.
 
Ndo maana nasema mbowe na kamanda urio ndo wanajua ukweli.
Sasa Basi ili mbowe aonekane hakuwa na urio.
Inatakiwa AMKANE URIO KUWA HAMJUI.
Na kumbuka hapo hapo mbowe alikuwa anampigia simu kamanda urio,na miamala ya fedha alifanya.
KESI NGUMU HII
Ugumu unauona wewe tu. Swala hapa siyo kufahamiana na messege za X-mass wishes bali ni kuthibitisha beyond reasonable doubt kuwa walikuwa wanapanga kufanya ugaidi. Akina Adamoo tayari wamesema waliambiwa wanakwenda kufanya kazi ya VIP protection na Urio tayari kasupport kwa kusema aliwambia kuna kazi hiyo wanatakiwa kuifanya.

Kama alijikanyaga jana .... subiri kwenye cross examination ndiyo utaona hali itakuwaje.
 
Yaani hizi mambo zinachekesha sana sometimes. Walikuwa tayari kuumiza watu kirahisi tu. Yaani mtu kapanga makubwa namna hiyo halafu mnampa na watu wa kutekeleza kirahisi tu na ufuatiliaji wa kimaandazi namna hiyo. Hivi kama watu wako serious si wanafanya tukio na kutokomea? Anaulizwa ulifanya mawasiliano tena na yule aliyebaki Dar? Eti sikuona haja kwa sababu wale wengine wameshakamatwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Tena unampa makomandoo waliofukuzwa kazi. Kuna mahali alisema aliwatahadharisha kuwa walikula kiapo hivyo wasikiuke kiapo kama askar i kuna mchanganyiko aisee.
 
Naanza kuamini hizi kazi za ulinzi Akili Kidogo nguvu nyingi. Huyu afande urio anafunua nyeti za jwtz
 
Tena unampa makomandoo waliofukuzwa kazi. Kuna mahali alisema aliwatahadharisha kuwa walikula kiapo hivyo wasikiuke kiapo kama askar i kuna mchanganyiko aisee.
Ningewaelewa kama wangeamua kupeleka ma kachero wa polisi kama ndiyo makomandoo maana naamini Mbowe alikuwa hawajui. Na hapo ingekuwa rahisi kufuatilia kila kitu. Sasa mnaruhusu vipi apelekewe makomandoo halisi na ufuatiliaji wa kijinga namna hiyo? Kama siyo michongo ni nn sasa?
 
Back
Top Bottom