Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muambie jaji sasa amfunge Mbowe kwa hayo maneno ya Urio ili wewe na Kinuju mkale kitimoto huku mnakenua meno yote 32 nje
Hahaha [emoji1787], Acha Ikae Hivyo (AIH)Akina kibatala wanamsubiri kwa hamu
Kwa kifupi, ni kina Kingai na Urio tu ndo waliokuwa wanafahamu kuhusu ugaidi. Kwa ushahidi uliopo, siyo Mbowe wala wale wanajeshi walikuwa wakifahamu mpango wowote wa kufanya uhalifu.Mkuu jmushi1
Mashahidi wa mashtaka hawana muunganiko. Wanapingana pingana sana...
Tuwasubiri akina Adamoo watakavyorarua na kuruka ushahidi wa Kingai na kundi lake la "Wasiojulikana"
kipi kilichoanza kutokea kuteswa kwa urio.
Au urio kumpigia Simu DCI boaz kumwambia mipango ya mbowe?
Kwahiyo ulitaka kwa sababu ni mchaga aungane na gaidi kutenda uhalifu kwa kuwa ni kabila moja?Kumbe luteni Urio ni mchagga, kumbe na wachaga dumila kuwili wapo?
Asingeripoti huo ugaidi angekuwa mtuhumiwa, Sasa hilo gaidi linaenda kukutana na Sabaya wote 30 jela.Huyu shahidi wa Leo NI muhimu Sana.
Anaweza akawa na yeye ni mtuhumiwa[emoji16][emoji16]
Hayo ya kumpigia simu huenda ndio kaelekezwa aseme!
Hawa akina adamoo na wenzake kimsingi hawana kesi kama hata baada ya kuajiriwa na mbowe waliendelea kuripoti kwa luteni urio
Yaani hizi mambo zinachekesha sana sometimes. Walikuwa tayari kuumiza watu kirahisi tu. Yaani mtu kapanga makubwa namna hiyo halafu mnampa na watu wa kutekeleza kirahisi tu na ufuatiliaji wa kimaandazi namna hiyo. Hivi kama watu wako serious si wanafanya tukio na kutokomea? Anaulizwa ulifanya mawasiliano tena na yule aliyebaki Dar? Eti sikuona haja kwa sababu wale wengine wameshakamatwa[emoji28][emoji28][emoji28]Ametia aibu sana!!! Yaani apate habari mbaya kama hizo alafu akubali kuzifanyia majaribio? Je ingetokea kweli?
Kesi ya michomgo itaenda kutisha keshoHapa kwenye huu uzi umevamiwa.. Ndio maana utaona kuna comments nyingi zinajirudia.. ..
Nchi yetu ina inteligensia kali sana lakini isiingizwe siasa tuu...ikiingia kila kitu kinaharibika..
ANGALIA OFISI YA CID
Yaani ofisi inapokea taarifa ya mipango ya ugaidi kisha mtoa taarifa anaambiwa we endelea tuu kuwatafuta vijana wa hiyo kazi kisha utakuwa unatutaarifu (hapa wakina Adamoo hawana hatia)
MFUMO WA INTELIGENSI
hapa ilitakiwa Boaz kama kweli kapewa taarifa ni kutafuta askari kanzu (undercover) kisha Urio anapiga simu wameshapatikana.. Then tuma nauli askari kanzu wanaenda Moshi.. Wanakuwa wanampa ulinzi Mbowe pamoja na mipango hiyo ya ugaidi ambayo Urio anasema..
CID kwakweli amekosea sana.. Maana kama kulikuwa na njama za ugaidi hawa askari kanzu wangesoma mchezo wote.. Wangekuwa wanajua nani na nani wapo wapi... Plan iweje... Mikoani sijui Moro.. Iringa.. Kukata miti barabarani nk
MATOKEO YAKE
Hakuna maelezo ya kutosha ya watu hao wanne wangefanyaje huo ugaidi kwa maeneo mbalimbali..
Tutabaki tunabishana humu ndani mpaka kesho kutwa.. Lakini Polisi... Urio wote hawakujipanga na hii issue kama kweli Mbowe alipanga ugaidi..
Extraction za simu zao ni hela kwenda huku na kupokelewa.. Hakuna voice record call kujua kilichozungumzwa
Zaidi ya SMS za happy new year.. Wasalimie nk
HII KESI ITAENDA KUAMULIWA VIZURI COURT OF APPEAL
Aliyetengeneza hyo kesi ni mbowe mwenyewe.
Anapiga simu kwa namba binafsi,akipigiwa apokei,anatuma hela kwa njia ya wakala.
Kwanini alikuwa anajificha ficha mawasiliano yake na urio?
Yupo kama washabiki wa simba kipindi cha kwanza walishangilia Sana kipindi cha pili wakalishwa ndiziWw nakufananisha na shabaki wa mpira ambaye akiingia uwanjani na timu yake kupata goli la mapema anaanza kushangilia kuwa ameshinda, kumbe mechi ni dakika 90. Hapo ametoa maelezo yake, atapaswa kutoa ushahidi usioachashaka juu ya hicho anachokisema. Subiri aulizwe maswali na mawakili wa utetezi, hapo ndio utajua huko kwenye vyombo vya dola kumejaa vilaza wanaondekeza siasa chafu.
Akija mwenye ushahidi wa maana useme.Huyu ameletwa mahakamani kwa vitisho , hana ushahidi wa maana
watakubali kumpinga kamanda wao?
He watakubali waonekane NI wasaliti machoni kwa mbowe?
Maana ukisema akina adamoo Hawana makosa Ina maana lengo lao lilikuwa moja na kamanda urio kumkamatisha MBOWE.
Elungata unaweza kuwa mjinga kiasi hiki?Hapa anaepona ni bwire,, wale watatu walishaenda hadi moshi kutekeleza mission, ndo wakakamatwa
Yaani urekodi.. Habari yako? Za siku? Tutafutane... Basiihakuna voice rekodi wakati mfumo unaweza na ulirekodi?
Ndo maana walijibu kwamba mwanajeshi hawezi kuwa raia ila raia anaweza kuwa mwanajeshi!Makomandoo hawafukuzwi kazi. Tambua hilo. Akifukuzwa au hilo likitokea, ni straight kifungoni. Hao wengine unaodhani walifukuzwa, walitumwa huko mtaani, tactically, ili kutimiza malengo.
Read between the alphabetical letters!