Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

hii nafuu yako itapotea atakapo kuja mtaalamu wa mawasiliano ya simu
 
Kuna maelezo chini ya onyo na maelezo chini ya kiapo - tafakari
 
Probably kuna Mbowe mapacha wa kufanana.
 
Dogo agizia chochote hapo kwa Mangi ntapitia kulipia.
 
Mawakili wapo Sawa tu,tusidharau taaluma za watu.kaaya kajichanganya hadi mawakili wa serikali nao hawajamwelewa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu,nimemjibu huyo bwana kwa kejeli tu.Nahisi kuna udhalilishajiunataka ufanyike dhidi ya GAIDI.
 
Mfano mzuri mtu anadai Mbowe kaja Longido wakati kumbukumbu za kimahakama ziko wazi kwamba alikuwa Segerea, mbona kaachwa?
Jaji anaandika kila kitu. Atakuja kutolea uamuzi anapojumuisha na hatimaye kutoa hukumu.
 
umesahau kuwa mwisho kuna re examination na final submission.- wewe naye zuzu tu
Nadhani umeifuatilia re-examination. Hakuna ilichoponya mkuu. Cross examination imefanya uharibifu mkubwa sana (Irreparable damage). Huyu shahidi number 2 amewaangusha mawakili wa serikali.
 
Nimebaki najiuliza huyu Kaaya alikuwa ni shahidi wa upande gani hasa maana amevuruga sana.

Namba ya simu ya Mbowe polisi kataja nyingine mahakamani anataja nyingine, hapo ndio aliponichosha ni ama hajaandaliwa vizuri au anafanya makusudi kuwanusuru washtakiwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…