Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Kwa cross-exam ya leo, case closed! Mbowe Januari 2020 alikwa gerezani Segerea lakini wakati huo huo alikutana na Shahidi Kaaya huko Longido! How possible was that?

... BWANA Mungu wa Mbinguni ni wa ajabu sana; ameanza kufanya njia pasipo na njia. Naona Shamu imeanza kugawanyika huku na huku Mwamba na watu wake wakipita katikati salama! Firauni na jeshi lake watashupaza shingo bado? Haijapata kuandikwa, ninyi mtakaa kimya Bwana atawapigania? BWANA ukasimame na wenye haki maana wewe ni Mungu wa HAKI. Amen.
hii nafuu yako itapotea atakapo kuja mtaalamu wa mawasiliano ya simu
 
Huyu shaidi mbona mweupe Sana kichwani, hivi kwanini maelezo aliyotoa Chini ya polisi, ni tofauti na maelezo aliyotoa Jana wakati anaongozwa na wakili wa serikali, Na pia ni tofauti na maelezo aliyoyatoa polisi,Kuna vitu vingi anaviongea havipo ktk maelezo aliyotoa Polisi.

Inamaana sio kazi ya wakili wa serikali kumwambia azungumze kile ambacho amekitolea maelezo au wakili wa serikali huwa hasomi maelezo ya shaidi wake kabla.

hii kesi mbona Kina Mbowe Wana kila dalili yakutokutwa na hatia Kama itahukumiwa kwa haki
Kuna maelezo chini ya onyo na maelezo chini ya kiapo - tafakari
 
Kwa cross-exam ya leo, case closed! Mbowe Januari 2020 alikwa gerezani Segerea lakini wakati huo huo alikutana na Shahidi Kaaya huko Longido! How possible was that?

... BWANA Mungu wa Mbinguni ni wa ajabu sana; ameanza kufanya njia pasipo na njia. Naona Shamu imeanza kugawanyika huku na huku Mwamba na watu wake wakipita katikati salama! Firauni na jeshi lake watashupaza shingo bado? Haijapata kuandikwa, ninyi mtakaa kimya Bwana atawapigania? BWANA ukasimame na wenye haki maana wewe ni Mungu wa HAKI. Amen.
Probably kuna Mbowe mapacha wa kufanana.
 
Kibatala: kwa Mara ya kwanza ulikutana na Mbowe?
Kaaya:mwezi wa kwanza 2020
Kibatala:unafahamu kuwa kipindi hicho Mbowe alikuwa mahabusu?

Kibatala: ulikamatwa lini ?
Kaaya: mwezi wa 8 ,2020
Kibatala:ulimpatia mbowe majina na namba lini?
Kaaya:mwezi wa 10 ,2020

Hadi mashahidi wote waishe Hangaya nae atatajwa hivyo ili kufikia malengo ni Bora huyu Kibatala alambe uteuzi wa kuwa AG tu.
Dogo agizia chochote hapo kwa Mangi ntapitia kulipia.
 
Mfano mzuri mtu anadai Mbowe kaja Longido wakati kumbukumbu za kimahakama ziko wazi kwamba alikuwa Segerea, mbona kaachwa?
Jaji anaandika kila kitu. Atakuja kutolea uamuzi anapojumuisha na hatimaye kutoa hukumu.
 
umesahau kuwa mwisho kuna re examination na final submission.- wewe naye zuzu tu
Nadhani umeifuatilia re-examination. Hakuna ilichoponya mkuu. Cross examination imefanya uharibifu mkubwa sana (Irreparable damage). Huyu shahidi number 2 amewaangusha mawakili wa serikali.
 
Nimebaki najiuliza huyu Kaaya alikuwa ni shahidi wa upande gani hasa maana amevuruga sana.

Namba ya simu ya Mbowe polisi kataja nyingine mahakamani anataja nyingine, hapo ndio aliponichosha ni ama hajaandaliwa vizuri au anafanya makusudi kuwanusuru washtakiwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom