Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na wenzake: Kaaya amaliza kutoa ushahidi. Shauri kuendelea 29/10/2021

Bwashe una maana gani kusema shahidi hakuandaliwa vizuri? Shahidi kuandaliwa kwani maiti?
 
Sio namba ya simu tu;

1. Kasema Mbowe sio gaidi kwani hakuwahi kuwa na hofu nae.

2. Kasema hakuwahi kuripoti polisi mazungumzo yake na Mbowe.

3. Kasema hakuwa na taarifa kama Mbowe alikuwa gerezani siku aliyosema alienda Longido.

4. Hata ile gari KUB aliyodai Mbowe alikuwa anazurura nayo, leo kasema Mbowe alitumia private car.

5. Kasema Mbowe alivyomwambia amuachie namba za wale jamaa atazifanyia kazi amesema kuzifanyia kazi kwenyewe ni kuziripoti polisi ndio maana baadhi ya wale wahusika wako jela sasa hivi kwa uhalifu wao.
 
Kwenye sheria kuna kitu kinaitwa Alibi,tamka Alibai,an evidence which shows that the suspect was else where when the crime was conducted, wakati shahidi wa jamhuri anadai january ndio walikutana na mbowe kupanga mipango ya uhalifu, rekodi zinaonyesha mbowe alikuwa rumande segerea,kaazi kwelikweli
 


 
Unaweza kumuona zuzu kumbe anajua anachokifanya. Watu wakutese mwaka mzima halafu uwe upande wao.
Ujumbe sahihi kwa wajuvi wa sheria kuhusu shahidi na ushahidi wake (rejea cross-examination yake)
 
hii nafuu yako itapotea atakapo kuja mtaalamu wa mawasiliano ya simu
Kwamba muda huo alifanya hayo mawasiliano na miamala ya fedha? Maswali ambayo hakuulizwa na Mawakili wa utetezi, kwa bahati mbaya au kwa makusudi?
 
Wala usisiwe na shida hata mkifanya tofauti sisi hatuna nguvu na wala hatuna cha kufanya.Sisi furaha yetu ni kuhakikisha dunia inainajua ubaya wa serikali na CCM.Haya mengine ni ya kwenu endeleeni nayo.
umeongea point sana mkuu, Big up sana chief....
 
kuna jamaa yangu alikwenda kutoa ushahidi wa uongo, akasema aisee sijui kizimbani pana nini pale, maana nilipopanda tu na kumaliza kuapa nikasahau kila kitu nilichofundishwa kusema nikawa najikanyaga tu - pana nguvu za pale ya ajabu ajabu.
Na hapa bado unachanganya changanya maneno! hiyo sentensi ya mwisho inaonyesha ulipata madhara ya kudumu.
 
InAmana mbowe kafunga safar hadd longido kuona na huyu dogo ampatie namba za kina slvester nyegu ....duh mbowe huyu huyu ila inawezekana wanasiasa hawashindwi Jambo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…