KaribuSawa sawa hongera kwa kuwa mwerevu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuSawa sawa hongera kwa kuwa mwerevu
Tulia dawa ikuingie taratibu.Nimebaki najiuliza huyu Kaale alikuwa ni shahidi wa upande gani hasa maana amevuruga sana...
Maendeleo hayana vyama!Tulia dawa ikuingie taratibu.
Bwashe una maana gani kusema shahidi hakuandaliwa vizuri? Shahidi kuandaliwa kwani maiti?Nimebaki najiuliza huyu Kaaya alikuwa ni shahidi wa upande gani hasa maana amevuruga sana.
Namba ya simu ya Mbowe polisi kataja nyingine mahakamani anataja nyingine, hapo ndio aliponichosha ni ama hajaandaliwa vizuri au anafanya makusudi kuwanusuru washtakiwa.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaha[emoji23]Shetani hana mamlaka, muulizeni yule shetani ambaye yupo kuzimu atawapa ushuhuda.
Mshana hivi haya mambo uliacha kweli?!Hahahaha[emoji23]![]()
Kamtongoza mama yake 😜😜😜
Kibatala: unafahamu Helga Mchomvu Aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri Ya Hai kuwa anamiaka Mingapi..........
Shahidi: Sifahamu
Kibatala: Mimi Nakwambia Sasa Ana miaka 60,wewe Unamiaka Mingapi
Shahidi: Miaka 31
Kibatala: na Ulimtongoza
Shahidi: Ndiyo
Ujumbe sahihi kwa wajuvi wa sheria kuhusu shahidi na ushahidi wake (rejea cross-examination yake)Unaweza kumuona zuzu kumbe anajua anachokifanya. Watu wakutese mwaka mzima halafu uwe upande wao.
Kwamba muda huo alifanya hayo mawasiliano na miamala ya fedha? Maswali ambayo hakuulizwa na Mawakili wa utetezi, kwa bahati mbaya au kwa makusudi?hii nafuu yako itapotea atakapo kuja mtaalamu wa mawasiliano ya simu
Mimi zaidiHivi Kuna mtu mwingine kama mimi desperate to see an end to this case so we move on with our lives?!
umeongea point sana mkuu, Big up sana chief....Wala usisiwe na shida hata mkifanya tofauti sisi hatuna nguvu na wala hatuna cha kufanya.Sisi furaha yetu ni kuhakikisha dunia inainajua ubaya wa serikali na CCM.Haya mengine ni ya kwenu endeleeni nayo.
Na hapa bado unachanganya changanya maneno! hiyo sentensi ya mwisho inaonyesha ulipata madhara ya kudumu.kuna jamaa yangu alikwenda kutoa ushahidi wa uongo, akasema aisee sijui kizimbani pana nini pale, maana nilipopanda tu na kumaliza kuapa nikasahau kila kitu nilichofundishwa kusema nikawa najikanyaga tu - pana nguvu za pale ya ajabu ajabu.
Huenda awali walimpotosha , Ila ajabu mbali ya joto analopata! Bora arekebishe leo kwa maelekezo kuondoa Shauri kuliko aibu kubwa na fedheha mwishoni.Hivi Kuna mtu mwingine kama mimi desperate to see an end to this case so we move on with our lives?!
Mtakuja kusema kaonewa nyie ila mpaka sasa JMT 3 - Gaid squad 0
Hata sabaya wakili wake waliwasumbua sana mashaidi 7 ila matokeo?
Dah! Nimecheka kwa sauti!!!Itakuwa kuna gaidi aliingia!