Lakini tukatae, tikubali beberu is always smart. 🤔Mbowe ni smart sana kaona mama SSH anaenda kuonana na Mzungu akamtia kizunguzungu. Hili la kutopewa chakula anapoenda kukutana na Beberu wa EU lazima atakutana na hili jambo.
..akaja na picha eti rafiki zake wamepewa zawadi za valentine ili na Mimi nitie neno. Si nikaanza swaga za Kibatala. ...we unaona Nini? Yeye: simu Kali kwenye box na nguo. Mimi: Unakumbuka box moja la harusi yako ilikuwa imepambwa lakini ndani hatukuona chochote? Sasa iambie familia kwamba huna uhakika na picha za zawadi za mitandaoni. Yeye: una ukorofi.Naomba kama mheshimiwa Kibatala na wenzake wakiridhia sisi sote tuliofuatilia kesi mwanzo mpaka hapa ilipofika basi tupate hata certificate za Misingi ya Sheria mahakamani,
Tumejufunza vingi
May be you mean for real🤔Hii issue ingemalizwa mezani kitambo na serikali....otherwise tumedhalilisha jeshi la police na kurugenzi zake.....
Ofcorse nimejiridhisha bila kua na shaka yoyote KUA upande wa mashitaka hawakua smart enough kichwani kweny huu mtanange mzima wa hili jalada....
Ukiamua kum plotia mtu kesi inabid uwe very smart kweny hili wali fail Sana...Home boy Urio atakua alibanwa kende......alitakiwa awe na camera 📷 kweny kisikizo na tape recorder atleast ushaid ungekua mzito ila Maneno na miamala haijitoshelezi......
#Mbowe sio Gaidi
#Free freeman
Hii inamaanisha kwamba wewe wajua zaidi sheria kuliko Judge ambaye hakulitamka hili unalolitamka wewe hapa.uhujumu uchumi- NO CASE TO ANSWER - haina nafasi
Kwakua mahakama za Tanzania zinatoa hukumu kutokana na maamuzi ya Rais wa Kifalme.Maamuzi ya kesi yanayoenda kutolewa yatawashangaza wengi,itakuwa kinyume na matarajio ya wengi.Labda siyo mahakama ya Tanzania.
Ni nani huyo?Kwakua mahakama za Tanzania zinatoa hukumu kutokana na maamuzi ya Rais wa Kifalme.
wewe unafkiri wanaweza kusema kuna kesi ya kujibu wakati DPP hakuhojiwa! maana yeye ndiye msingi wa kufungua hii case! hao wamepigiwa simu leo mchana wakati wa chakula!Maamuzi ya kesi yanayoenda kutolewa yatawashangaza wengi,itakuwa kinyume na matarajio ya wengi.Labda siyo mahakama ya Tanzania.
Ni kweli. Angehusika angefika wa kwanza kabisaHakuhusika na lolote
Yaani ukubwa wote huu,unaamini ugaidi unafanyika ki ndezi namna hii??Sheria bhaana.... Embu kuweni serious..
Kuuliza kituo cha puma kipo sehemu gani.. mwendokasi ipo wapi.
Ni kama mnapiga story.
Mnaleta siasa mnasema kibatala anapiga pin.
Defence artoney kazi yake ni kuweka dought upande wa mashitaka... Shitaka la mbowe sio la mashahidi....
Kesi za kigaidi hazina mambo ya common law system.
Hapo ni kutimiza wajibu ila kila kitu ni planned kama kuachiwa ataachiwa kama kupigwa pin atapigwa...
Ila sisi tulio kwenye nyuma ya keyboard hatutakiwi kubeza chochote... Hii sio siasa.
Tunakula tunapata muda wa kuchat kisa amani iliyotengenezwa na serikali iyo iyo inayomtuhumu mbowe gaidi.
Matukio ya ugaidi yapo duniani na anayefanya hatumjui...
Tuache vyombo vifanye kazi zake..
No Case To AnswerHii issue ingemalizwa mezani kitambo na serikali....otherwise tumedhalilisha jeshi la police na kurugenzi zake.....
Ofcorse nimejiridhisha bila kua na shaka yoyote KUA upande wa mashitaka hawakua smart enough kichwani kweny huu mtanange mzima wa hili jalada....
Ukiamua kum plotia mtu kesi inabid uwe very smart kweny hili wali fail Sana...Home boy Urio atakua alibanwa kende......alitakiwa awe na camera 📷 kweny kisikizo na tape recorder atleast ushaid ungekua mzito ila Maneno na miamala haijitoshelezi......
#Mbowe sio Gaidi
#Free freeman