Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Mbowe ni smart sana kaona mama SSH anaenda kuonana na Mzungu akamtia kizunguzungu. Hili la kutopewa chakula anapoenda kukutana na Beberu wa EU lazima atakutana na hili jambo.
Lakini tukatae, tikubali beberu is always smart. 🤔
 
Naomba kama mheshimiwa Kibatala na wenzake wakiridhia sisi sote tuliofuatilia kesi mwanzo mpaka hapa ilipofika basi tupate hata certificate za Misingi ya Sheria mahakamani,
Tumejufunza vingi
..akaja na picha eti rafiki zake wamepewa zawadi za valentine ili na Mimi nitie neno. Si nikaanza swaga za Kibatala. ...we unaona Nini? Yeye: simu Kali kwenye box na nguo. Mimi: Unakumbuka box moja la harusi yako ilikuwa imepambwa lakini ndani hatukuona chochote? Sasa iambie familia kwamba huna uhakika na picha za zawadi za mitandaoni. Yeye: una ukorofi.
 
Mkuu wa machief alituaminisha kwamba wenzake na Mbowe walishafungwa kwa kesi ya ugaidi mwenye kuwajua majina atujuze ni nani hao
 
Hii issue ingemalizwa mezani kitambo na serikali....otherwise tumedhalilisha jeshi la police na kurugenzi zake.....

Ofcorse nimejiridhisha bila kua na shaka yoyote KUA upande wa mashitaka hawakua smart enough kichwani kweny huu mtanange mzima wa hili jalada....

Ukiamua kum plotia mtu kesi inabid uwe very smart kweny hili wali fail Sana...Home boy Urio atakua alibanwa kende......alitakiwa awe na camera đź“· kweny kisikizo na tape recorder atleast ushaid ungekua mzito ila Maneno na miamala haijitoshelezi......

#Mbowe sio Gaidi
#Free freeman
 
May be you mean for real🤔
 
Katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake 3,Serekali ilikuwa na mashahidi 24.
Ajabu leo mawakili wa Serekali wamefunga ushahidi wao baada ya kumuongoza shahidi wa 13,na kuamua kuwaweka kando mashahidi 11.

Ni wazi cross examination iliyoongozwa na wakili msomi Mh Kibatala ambaye ni kiongozi wa Jopo la Mawakili wa utetezi kuliwaweka katika wakati mgumu Mashahidi wa kuchonga ambao wengi ni police officers 👮‍♀️.

Kwa hakika jopo la Mawakili wa Serekali pamoja na mashahidi wa Serekali walielemewa sana.Wengi wao walikuwa wakiomba Ruksa ya kwenda kujisaidia.

Nia aibu ya kiwango cha kutisha na kusikitisha kila shahidi wa Serekali alipopanda kizimbani kutetea hoja za kuchonga.Kumbe Serekali kupitia jeshi la police wana uwezo wa kufungua kesi ya michongo,Mashahidi wa michongo,Majaji wa michongo na Mawakili wa michongo.

Katiba mpya sasa ni muhimu kuliko wakati wote.

Naomba kuwasilisha,Ngongo kwasasa Belgium.
 
Mashahidi 13 badala ya 24 - Jamhuri imefunga ushahidi katika kesi ya michongo ya Freeman Mbowe na wenzake
#MboweSioGaidi
 
uhujumu uchumi- NO CASE TO ANSWER - haina nafasi
Hii inamaanisha kwamba wewe wajua zaidi sheria kuliko Judge ambaye hakulitamka hili unalolitamka wewe hapa.

Nakama Kibatala ni mdogo kwenye sheria, basi Judge, Mawakili waserikali wote niwadogo katika sheria.

Maana wangelijua hilo wangepinga ombi lakibatala na sio kuomba submission zifanyike kwa maandishi na then uamuzi wamwisho wakuiachia mahakama ipitie yenyewe nakutoa uamuzi 18Feb.
 
Upopo wa kesi hii kuisha mapema ulianza kuonekana kwa jaji Tiganga mwenyewe, alikuwa mtulivu sn kiasi cha kushangaza dalili zilionesha kuna jambo sio bure,

Baadae ikaja kwa zito kabwe kuonesha anajifanya anataka mbowe aombe msamaha kwa chief kama kigezo cha kuachiwa kwake.

Baadae ni mashahidi wawili hawa wa mwisho yaani urio na swila, walionesha kabisa kuwa kesi hii inaenda kufutwa, time will tell.
 
Nlikuwa naongea na wakili mmja nguli
Tulikuwa kwenye kilaji!akaniambia ukiwa
Na kesi ukileta mashahidi wengi lazima utajichanganyaa tu

Ova
 
Kesi inachosha na kuboa.

Waamue moja tu, kama wanataka kumchelewesha huyo mzee na wafuas wenzake kudai lile walitakalo wafanye wanavyotaka, sio kuhusisha mahakama na jeshi la polisi ktk kesi zisizo na msingi.

Wafute kesi ama waendelee kupoteza muda, sion muafaka wa hii kesi kama kila mmoja wao atajiona mshindi na ana haki, ni mmoja apo agive-up no way out
 
Maamuzi ya kesi yanayoenda kutolewa yatawashangaza wengi,itakuwa kinyume na matarajio ya wengi.Labda siyo mahakama ya Tanzania.
wewe unafkiri wanaweza kusema kuna kesi ya kujibu wakati DPP hakuhojiwa! maana yeye ndiye msingi wa kufungua hii case! hao wamepigiwa simu leo mchana wakati wa chakula!

biashara ikaishia hapo

kuna uwezekano mama akirudi kutoka nje atafukuza watu wengi tu kwenye mifumo hii
 
Sheria bhaana.... Embu kuweni serious..

Kuuliza kituo cha puma kipo sehemu gani.. mwendokasi ipo wapi.

Ni kama mnapiga story.

Mnaleta siasa mnasema kibatala anapiga pin.

Defence artoney kazi yake ni kuweka dought upande wa mashitaka... Shitaka la mbowe sio la mashahidi....

Kesi za kigaidi hazina mambo ya common law system.
Hapo ni kutimiza wajibu ila kila kitu ni planned kama kuachiwa ataachiwa kama kupigwa pin atapigwa...

Ila sisi tulio kwenye nyuma ya keyboard hatutakiwi kubeza chochote... Hii sio siasa.

Tunakula tunapata muda wa kuchat kisa amani iliyotengenezwa na serikali iyo iyo inayomtuhumu mbowe gaidi.

Matukio ya ugaidi yapo duniani na anayefanya hatumjui...

Tuache vyombo vifanye kazi zake..
Yaani ukubwa wote huu,unaamini ugaidi unafanyika ki ndezi namna hii??
 
Hii issue ingemalizwa mezani kitambo na serikali....otherwise tumedhalilisha jeshi la police na kurugenzi zake.....

Ofcorse nimejiridhisha bila kua na shaka yoyote KUA upande wa mashitaka hawakua smart enough kichwani kweny huu mtanange mzima wa hili jalada....

Ukiamua kum plotia mtu kesi inabid uwe very smart kweny hili wali fail Sana...Home boy Urio atakua alibanwa kende......alitakiwa awe na camera đź“· kweny kisikizo na tape recorder atleast ushaid ungekua mzito ila Maneno na miamala haijitoshelezi......

#Mbowe sio Gaidi
#Free freeman
No Case To Answer
 
Back
Top Bottom