Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Asilimia 95 polisi wanamaliza muda wao na mateso makali sana na magonjwa ya hovyo. Kuna mmoja namjua sasa hivi anachunika ngozi tu.maisha ya watu kama hawa mara nyingi huwa ni mafupi, yasiyo na amani na mafanikio huwa ni ndoto - fuatilia.
Hii kazi ina laana. Wakiwa kwenye utumishi hawajui kuhusu kesho.Asilimia 95 polisi wanamaliza muda wao na mateso makali sana na magonjwa ya hovyo. Kuna mmoja namjua sasa hivi anachunika ngozi tu.
Achunike na ngozi ya kwenye nanihiii Hadi zile goroli ziwe njeAsilimia 95 polisi wanamaliza muda wao na mateso makali sana na magonjwa ya hovyo. Kuna mmoja namjua sasa hivi anachunika ngozi tu.
Nasikia kunaalieamua kujichimbia kaburi lake in advance....Asilimia 95 polisi wanamaliza muda wao na mateso makali sana na magonjwa ya hovyo. Kuna mmoja namjua sasa hivi anachunika ngozi tu.
Na mama kamchoresha aliyekuwa DPP sasa hivi ni AG.Goodluck alimkamata Bwire bila kumjua...hahahaha
Only in TanzaniaNa mama kamchoresha aliyekuwa DPP sasa hivi ni AG.
SAID mwema ana makampuni mengi ya ujenzi Moshi, na mapolisi ndio wamiliki wa daladala mbovu karibu nchi nzima.Asilimia 95 polisi wanamaliza muda wao na mateso makali sana na magonjwa ya hovyo. Kuna mmoja namjua sasa hivi anachunika ngozi tu.
Alwatan na Baba Mtumishi, Emmaus Mwamakula
Ukweli hata Jaji atafanya maamuzi kwa amri tu ila anajuta na hii kesi.Goodluck alimkamata Bwire bila kumjua...hahahaha
Kabisa Mkuu, yaani niko na majirani zangu polisi huku maeneo ya Kijichi , nimehamisha hadi kijiwe cha kunywea pombe, siku hizi najumuika huku kibada au ufukweni huku kigamboni ,sitaki kabisa wanizoee yaani hata gari sitaki kabisa kutoa lift kwa mtu anaeitwa polisi . ni wa hovyo sana hawa jamaaIla nyie Mungu ni wa ajabu, hivi ni lini tungekuja jua kuna mtu anaitwa Jumanne, Goodluck, Mahita etc ambao wote ni suspicious wa utekeaji na utesaji? Haya ni matokeo ya dhambi za dhuruma nyingi, utesi mwingi, uonevu mwingi na kila aina ya dhuruma ambayo imefika kuwa chukizo kwa Mungu na hatimaye kuwaanika wazi sehemu ambayo haina kificho, Kwa hakika huu ni mpango wa Mungu.
yajayo yanafurahisha wapo tunaishi nao mtaani, wao tunakunywa nao, wao tunasafiri nao, wao tunashiriki nao katika mambo mengi ya kijumuiya, wao watajificha wapi tena? makusudi ya Mungu inayo maana kuu kwa kila jambo!!!
DaahhhhHapa bado dereva anayeitwa Pc Aziz, na Pc Francis, bado SSgt Nuru mtunza vielelezo central Dar, bado askari wa CRO Mbweni, bado Anitha wa RAU madukani.
Mimi siwapendi kbs maisha yangu yoote hawa watuKabisa Mkuu, yaani niko na majirani zangu polisi huku maeneo ya Kijichi , nimehamisha hadi kijiwe cha kunywea pombe, siku hizi najumuika huku kibada au ufukweni huku kigamboni ,sitaki kabisa wanizoee yaani hata gari sitaki kabisa kutoa lift kwa mtu anaeitwa polisi . ni wa hovyo sana hawa jamaa
Unawachangia walau bando la buku mkuu?tatizo huwa munachelewesha sana Update unakaa hata one hour bila ku update chochote asee,leo mujitahidi
Bora umenipa connection ya mbege hapo mwengeHata pale Mwenge kwa mama Tarimo kuna mbege nzuri sana!
Kuna mmoja kafa majuzi kwa kisukari kaacha watoto wadogo na mke mzurii....laana zinawatafuna mbwa hawa.Asilimia 95 polisi wanamaliza muda wao na mateso makali sana na magonjwa ya hovyo. Kuna mmoja namjua sasa hivi anachunika ngozi tu.