Ila nyie Mungu ni wa ajabu, hivi ni lini tungekuja jua kuna mtu anaitwa Jumanne, Goodluck, Mahita etc ambao wote ni suspicious wa utekeaji na utesaji? Haya ni matokeo ya dhambi za dhuruma nyingi, utesi mwingi, uonevu mwingi na kila aina ya dhuruma ambayo imefika kuwa chukizo kwa Mungu na hatimaye kuwaanika wazi sehemu ambayo haina kificho, Kwa hakika huu ni mpango wa Mungu.
yajayo yanafurahisha wapo tunaishi nao mtaani, wao tunakunywa nao, wao tunasafiri nao, wao tunashiriki nao katika mambo mengi ya kijumuiya, wao watajificha wapi tena? makusudi ya Mungu inayo maana kuu kwa kila jambo!!!