Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

Akijibu hili Paskali ntakimbilia ccm!! Paskali anaogopa kivuli Chake mwenyewe!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
[QUmOTE="Wakudadavuwa, post: 36761347, member: 353133"]
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
[/QUOTE]Mdomo hauna VAT we jifurahishe tu.
 
Hahaha!!! Hiyo ahadi inatekelezwa kwa ccm kuwakata masikio ili siku nyingine wasikie vizuri na waelewe kuwa ubunge haugawiki kama peremende.
 
Hakuna aliye baki salama, "dictator" pote amepagusa.
 
Asilimia 60, ongeza na Asilimia 20 za wale wanakijani wanafki ambao wanalazimisha kupenda pasipopendeka, wanaasila za chini chini Hawa.
 
Nashangaa kwa nini hajadekiwa barabara kama ilivyokuwa kwa Lowassa!

Uzuri wa siasa za upinzani Tanzania, wagombea Urais huingia kwenye uchaguzi kwa mbwebwe na baada ya uchaguzi huanza kupotea polepole!

Tanzania kuna vituko!
Hakuna kituko kama wewe. Ndio tatizo la kukaririshwa. Kudeki barabara ndio nini? Unamzungumzia Lowassa ambaye hayupo hata kwenye equation? Kwani Lissu na Lowassa wana uhusiano. Kwenye hilo fuvu lako kumejaa usaha tu, nenda hospitali wakuokoe.
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Hivi wewe akili zako zikoje? Huwa una mtindio?
Kanda ya ziwa ipi unayoongelea wewe? Na hapa ni wapi?

 
Nasikia bukoba watu hawajalala kuamkia leo. Ni Lissu tu huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli magufuli achote tu za kutosha pale BOT kama albashir maana kuanzia November ni Raisi Mstaafu wa Tanzania
Atawaponza mpaka mama Jesca na Jesca na wenzie. Sisi akifanya hivyo tutahakikisha tuna Sukuma ndani yeye, sukuma ndani mama na sukuma ndani na wapambe! Wote sukuma ndani!
 
Labda 6% ndiyo atapata kwa hii sera yenu ya majimbo mmejikaanga wenyewe, sera ya kikoloni iliyotumika kugawa bara la Africa ndiyo leo mnaifufua kweli nyie Wabeligiji haswaaaaa
 
Labda 6% ndiyo atapata kwa hii sera yenu ya majimbo mmejikaanga wenyewe, sera ya kikoloni iliyotumika kugawa bara la Africa ndiyo leo mnaifufua kweli nyie Wabeligiji haswaaaaa
Kwa asiye na elimu na hapendi kuelimishwa kama wewe sio rahisi kuelewa.
Sera hiyo ndio iliyotumika USA na kulifanya taifa kubwa zaidi duniani. Mambo ya hela za korosho kushindwa kujenga barabara ya Nangurukuru lakini kutumika kujenga uwanja Chato sasa itakuwa mwisho
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
inaelekea somo analowapa Tundu Lissu haliwakolei.

nitakukumbusha.

1. meli, treni, madaraja, ni wajibu wa kila serekali kwani kodi za wananchi ndizo zinazotumika. pesa hazitoki kwa rais wala chama tawala

2. hata mkoloni alijenga vyote hivi lakini bado Mwalimu JKN (RIP mzee wetu) alipigania uhuru wetu ambao ndiyo huo huo Lissu anaoupigania kwa ajili yetu sasa dhidi ya huyu mkoloni mweusi

3. vitu hivyo kutekelezwa na serekali ni kama ATM (serekali) inavyotumika kuchukua pesa zako kutoka kwenye akaunti yako (kodi yako) mwenyewe benki

4. kutekeleza vitu hivyo pasipokuwa na uhuru na haki katika jamii ni sawa na kujenga nyumba bila msingi juu ya mchanga, nyumba hii itabomoka kabla ya hata kupaua

5. sasa, sasa.... Tundu Lissu anasema anataka kujenga miundombinu na kuinua uchumi katikati ya uhuru na haki. hii ni sawa na kujenga nyumba juu ya msingi imara wa zege, nyumba hii itadumu milele!

6. niongeze volume??
 
Tunahitaji mabadiliko sisi sera za wana ccm zimesha chosha watu.watu wanatawala kwa kukariri
... kila kitu kumnukuu baba wa taifa hata zile kauli zake ambazo leo hii angezirekebisha kulingana na wakati tulio nao!
NB: Sifa moja kubwa ya baba wa taifa ilikuwa ni kwenda na wakati!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌✌✌πŸ’₯
 
Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani na kijambazi kabisa
 
Hivi ccm wameshatekeleza haya maamuzi ya Mahakama ya Afrika Mashariki?
 

Attachments

  • Screenshot_20200820_103832_com.android.chrome.jpg
    131.3 KB · Views: 1
Mwambie mwenyekiti wako asifungie TV ziwe huru, unafeli wp kaka paskali? Au na ww umejitoa ufahamu km uvccm
 
Good.....
umeeleweka
 
Lissu anaenda kuzidi kukiua Chama Cha Mabilisi (CCM) ,wewe CCM kojo kataa kama ccm sio chama cha mashetani yaani zidi kukataa kama CCM sio Chama Cha Mabepari,Death party Chama Cha Mauaji.
CCM vumilieni ndio kampeni hizi zinashika kasi naona mmeanza kusinyaa na mapema, mambo bado maambo baadoo,mnaikumbuka huo mdundo,karibu wakuu wengi wa CCM watabwaga manyanga,chakubanga na Abushiri washanusa exodus of CCM members
 
Nashangaa kwa nini hajadekiwa barabara kama ilivyokuwa kwa Lowassa!

Uzuri wa siasa za upinzani Tanzania, wagombea Urais huingia kwenye uchaguzi kwa mbwebwe na baada ya uchaguzi huanza kupotea polepole!

Tanzania kuna vituko!
Chadema hawajawahi muacha salama mgombea Uraisi aliyeshindwa uchaguzi Ni Mbowe tu ndiye alinusurika sababu. Ni mwenye chama .Lisu akishindwa na wabunge wengi wa Chadema wakishindwa hasira zao watazimalizia kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…