Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi na Mkutano Mkubwa wa hadhara wa Tundu Lissu Mjini Bukoba

Tunafuatilia kwa karibu sana mkuu , Naona Molemo Media iko kazini , safi sana kamanda
 
Tunahitaji mabadiliko sisi sera za wana ccm zimesha chosha watu.watu wanatawala kwa kukariri
Kweli kabisa, maana tumechoka watoto wetu kupata elimu bila malipo, tumechoka kutembea kwenye barabara za lami, tumechoka kukarabatiwa MV Bukoba na kutengenezwa meli mpya, tumechoka Serikali ya awamu ya tano ku-control mfumuko wa bei, tumechoka umeme kusambaziwa umeme vijijini, yaani tumechoka watanzania
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Hahah...bahati nzuri ni kwamba unayesema haya ni zombie la lumumba
 
Thank you sir!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Kwani raisi wa wanyonge ana semaje kuhusu ili
 

Mayalla maana yake njaa haaaaa tangu tupoambiwa maana ya jina lake sisumbuki tena.
 
Hapa Missenyi Mh.Tundu Lisu amesubuliwa watu wamekesha uwanja wa mashujaa chakaza...bendera za chama zinapepea Kila upande
Niyeye2020
Huko ndo kahawa zenu mlizuiwa kuuza kwa bei nzuri, mkalazimishwa kukopwa kwa bei ya chini?.......msifanye makosa tena mmeona ukatili wa magufuli, apigwe chini hayupo na sisi kwenye maendeleo yetu. Ana ajenda zake ambazo si rafiki kwa ustawi wetu!. Piga chini CCM!.
 

Mkubwa punguza sauti aisee
 
Lissu anakamilisha ratiba huko kanda ya ziwa hana chake, mdomo wake umemponza. Anachukia meli,treni,daraja la busisi nk. kwa kifupi ngoja akatembee na uwepo wake unawaponza wagombea ubunge na udiwani kupitia chadema.
Pengine unaishi ukiwa mfu ama ulishawahi tangulia huko kuzimu Gwajima aka kufufua!
Ukiwa Zuzu
 
Yatakayojiri Gymkana yatafurahisha. Jazeni Nyomi ya kuvunja rekodi Wana Bukoba mjini. Tumeni ujumbe wa maana kwa Meko. Alivyowatukana alitegemea nini.
Yaani wana Katerero, jirani na mto Ngono, Leo fanyeni maCCM kale katecnolojia!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌✌✌πŸ’₯
 
Kama tunavyotawaliwa rais wa ajabu haijawahi tokea
Huyu huyu ndio Aliyekuwa anamkandia Nyerere, Mwinyi,Mkapa na Kikwete, Leo hii ana wasifia, na kumponda Magufuli wakati Magufuli anayafanya yale waliokuwa wanayapigia Debe .
Kuhusu Chakula sijasikia mtanzania aliyekufa u kwa ajili ya njaa.
Kuhusu kuagiza tani 90,000 inategemea upungufu ni kiasi gani, na hata huo uagizaji upungufu mbona haukuleta shida yeyote.
Anti ongea kama mtu mzima.
 
Bukoba wamejipanga wanataka kuvunja rekodi
Ni kweli Tunduma na Mbeya town tulitisha...

Ila guys, mlikiona kilichofanywa na watu wa Kyerwa Jana? Hili naona linapewa uzito kidogo, lakini yale mapokezi ya pale kati binafsi yaani- inspire sanaa, kwanza kulikuwa kama kijijini hivi, uwanja wenyewe ulikuwa katikati ya msitu hukoo... barabara ya kuufikia ule uwanja ni full mivumbi... bila shaka angekuwa mwaflan afike pale na kile "kiberiti" chake angelazwa wiki nzima akitibiaa..!!

Jamaa walitisha sana...vibe kama lote, mzuka kama katelemka nani sijui... Yaani daah.. jana, mpaka nilimwogopa Lissu.!!

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…