1.Kwa Nini chanjo ya surua inazuia lakini ya Corona inapunguza tu makali ya kuumwa lakini kirusi unakipata na unakisambaza vizuri 2.Mnakopeshwa pesa ili mnunue chanjo ambayo haizuii ugonjwa ni ujinga 3. Kwa Nini ujerumani wao ndio watengeneza chanjo ya Pfizer kwa Sasa maambukizi yamepamba moto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.