Vibaraka wa covid, wamerudi tena Kwa Kasi...wamekula pesa za Watu Sasa lazima wazifanyie kazi.
Km covid IPO, basi ipo Kwa baadhi ya Watu, mbona Watu hawavai barakoa na usafiri wanabanana?
Mbona maisha yanaendelea?
Msitufanye Watanzania wajinga.magufuli alishamaliza,mkilazimisha yatawatokea puani