Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


Mzalendo anaye julikana kikatiba ni zitto kabwe,nyie mmesajiriwa lini?
 
CCM wasipompitisha Magufuli katika hao watano, basi CCM ijiandae kuwa chama kikuu cha upinzani
 
Mpaka hapo matumaini ya UKAWA kwisha
Kwisha wajisalimishe tu mafikilio ya ushindi wayafute vichwani mwao
Hiyo ndiyo CCM.
 

Attachments

  • IMG_20150711_015900.jpg
    37 KB · Views: 515

Ccm hakuna mzalendo hata kidogo
 
Mpaka hapo matumaini ya UKAWA kwisha
Kwisha wajisalimishe tu mafikilio ya ushindi wayafute vichwani mwao
Hiyo ndiyo CCM.

Ukoo wa panya hazaliwi kondoo,kura tunapiga sisi watanzania na jiandae kisaikolojia kuwa chama cha upinzani kama kanu
 
Yaani kwenye Kamati Kuu kuna watu wanaamini Makamba Jnr anaweza kuwa Rais wa Tanzania?

Mimi nadhani huu ni mkakati wa Kamati kuu kutaka Membe ateuliwe kuwa mgombea kwa sababu kama wangeweka wagombea ambao wana ushindani, sidhani kama Membe angefika hata kwenye Mkutano Mkuu.
 
Ipi Na Inaitwaje Mkuu?

Tafuta majani machanga ya Mpera yaoshe then tafunia hapo kwenye jino,litauma for sometime but maumivu yakikata ndio nitolee hapo utasahau kabisa. Hakikisha umetafuna mengi kidogo ili yale maji maji yake yaingie hapo kwenye jino.
 

lets pray but waswahili hawajielw
 
Reactions: Ame
mwenyekiti ana uakika na watu wake makamba, kama sio membe,kama sio asha huyu magufuli yupoyupo tu hapo atatoswa vibaya .Mwenyekiti anafuata uabiri wa mwenye jina la kiislamu na kikristo au aliyeoa dini nyingine-asha-rose migiro, january makamba -mke mkristo, bakar benard
 

Vinasaba vinasaba
 
Eti Makamba over Jaji Brigedia Ramadhani, Dk Mahiga, even Mwigulu us better.

Masikini yuke std 7 hakujua CCM ina wenyewe. Hiyo milioni 1 si angenunua pembejeo?

Anyway, I see Team Lowassa voting for Magufuli.
Never, Magufuli na Mamvi haziivi
 
Kwa hakika nimefurahishwa sana na CCM, kuna wagombea wawili nilikuwa sitaki wapite na hawakupita.

Si siri, wa kwanza Nyerere wa pili Lowasa.

Nyerere kwa sababu hafai kuongoza hata nyumba kumi wacha kuwa Rais na Lowasa kwa sababu ni mgonjwa.

Hao waliobaki, yeyote atakaepitishwa ntamkubali kwa roho moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…