falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
kingunge kaandaa jeshi la popobawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHICHIEMu wametufanya sie mazoba kwa kweli. Yani unaona kabisa aina ya wagombea wanayemtaka, na nia ya😵bviously sasa liko wazi kutakuwa na mwanamke kwenye tiketi yao, obviously iko wazi Hakutakuwa na mzanzibari, kwani wamemchukua mzanzibari asiyejulikana kuliko wote(ingawa,niwe muwazi kuwa Amina, is a remarkable lady, with the highest dignity).
Yani hapo hii ngoma ni kati ya magufuli na Membe, ukizingatia kuwa Magufuli uzoefu wa mambo ya nje ni nukta nukta sifuri, hivyo basi chaguo la jamaa ni Membe.
Kutokana na Upepo utakavyokuwa Asha can as well be president, while magufuli is now the strongest contender for Next PM should he lose the nomination. Sidhani akikosa atafaa kuwa Makamu.
Makamba,well,it says a lot when a young nominee is chosen in favour of men as qualified as Ramadhani, just for the mere reason he is young. Lowassa with all his shortcomings is 100 times better than Makamba any time of the day...,
Hii kiboko! wawili tuu basi?hii kiboko haya tuambie katika hii top 5 chaguo lako ni yupi?Kwa hakika nimefurahishwa sana na CCM, kuna wagombea wawili nilikuwa sitaki wapite na hawakupita.
Si siri, wa kwanza Nyerere wa pili Lowasa.
Nyerere kwa sababu hafai kuongoza hata nyumba kumi wacha kuwa Rais na Lowasa kwa sababu ni mgonjwa.
Hao waliobaki, yeyote atakaepitishwa ntamkubali kwa roho moja.
Kimweri wala usipoteze muda kujua nani hapo atakuwa mshindi, Mshindi ni Benard Membe wengine ni wasindikizaji wake. Top 3 tegemea kuwaona Membe, Makamba, Magufuri.