Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Watu wa kaskazini mlishaambiwa na mwana mfalme riz1 kwamba rais hatokaa atoke huko hamkuelewa? Kwa ufupi mmeshabaguliwa. Poleni sana
 
licha ya kuwa na watu wanaoonekana wana mipango mizuri lakini Lowasa hakutambua janja hii?? Naona mpasuko mkubwa ndani ya CCM baada ya hapa.
Mkombe...

Kwa hali halisi huwa hakuna aliye juu zaidi ya chama...

Wengi Zitto alivyofukuzwa CHADEMA walidhani CHADEMA ingetetereka kwa sababu ya umaarufu/nguvu ya Zitto...Badala yake CHADEMA ikazidi kuwa imara...

Bahati mbaya kwa Lowassa kwa wajumbe zaidi ya 30 wa CC inaonekana Simba, Nchimbi na Kimbissa pekee walikuwa upande wake...Na baada ya kuzidiwa wakaamua kuanza kuropoka...

Hivi unategemea baada ya hapi Lowassa ataenda wapi?...Ata cross??....

Je ikitokea Lowassa akapitishwa (binafsi nasubiri taarifa rasmi ya CCM juu ya 5 bora) na hatimae kuwa mgombea wa CCM atakuwa tishio kwa upinzani?...Vipi kuhusu jamii inamuonaje?
 

Sasa mm na wewe ni nani mwenye kuweka personal feelings, maneno yako yanaonyesha direct how u favour Membe over everyone, mm sijatoa uchambuzi wa siasa nimetoa opinion yangu... at this point hahiitaji uchambuzi wa siasa kujua nani atakuwa mgombea baba, at this point anything can happen kwa hiko chama trust me, CCM can suprise you in way that utashindwa kuamini uchambuzi wako nakwambia. Usitumie sanaaa akili yako utakufa na presha relax, this people can kill u yooooo ( in nigeria's voice)
 
Ooo! jina likikatwa patachimbika!!, nyambaafu, nchi ni yenu? Kachimbeni sasa tuone kama ubavu mnao!!. Ila mmekula hela yake!
Ama kweli vya ......... ndo viliwavyo.
 
Akienda kwa msaliti wa chadema ndio kabisa maana msaliti plus fisadi wananchi wanakuelewa tu.

Kuna tetesi kuwa yeye ndio mwanzilishi wa ACT, tutajua kama ni kweli au la baada ya hii ishu kuisha kesho.
 
licha ya kuwa na watu wanaoonekana wana mipango mizuri lakini Lowasa hakutambua janja hii?? Naona mpasuko mkubwa ndani ya CCM baada ya hapa.
Mkuu,
Yes, Mpasuko ninauona kama atapitishwa Membe kuwa mgombea Urais kwa sababu Timu Lowassa haiwezi kukubali ashinde Urais.

Ninategemea kwa sasa yale maamuzi magumu ambayo tulikuwa tunaelezwa yanapatikana kwa Lowassa pekee!
 
Sina mengi Ila jiandaeni kuongozwa tena na Familia ya Kikwete.
Kama Ukawa hawatashinda basi kile kilio cha kusaga meno cha miaka 10 ijayo cha kuongozwa na Familia/ukoo wa Kikwete kinaanza tena.
Ni mateso mengine ambayo sitaweza kuyavumilia

huo ndo ukweli. mkuu membe akishinda urais tutarajie kina riz kuwa mawaziri nk. binafsi siwezi toa kura yang kwa mtu huyu kamwe. mambo ni yaleyale..
 
kwa hili namtetea makamba. kwani nomination tayari ngazi ya nec?

Ndg ww ni miongoni mwa watu ninaowaheshimu sana humu lakini kwa hoja hii unanitia hofu.
Kuna mambo kadhaa ambayo lazima uyatazame kwa upana wake.
Mfano ktk Mikataba kuna mambo ambayo yanatakiwa kuzingatiwa tangu awali, yasipotazamwa mkataba huwa batili kabla ya kuanza(void abinitio) maana yangu ni kwamba hakukuwa na haja ya kuchukuwa hata form kwa watu under age.

Hakuna kitu kinachoanza kwa ubatili kikaisha kwa uhalali: unapopewa vigezo vya ajira kama hunatimiliza hutokei hata kwenye short list. Kulikuwa kuna haja gani ya kumshort list Makamba wakati hajatimiza kigezo kikubwa kabisa cha umri?
Hapa utaona kuwa kuna kujuana na uvunjifu mkubwa wa katiba
 
Zama za kuamini kuwa mgombea wa ccm ndo rais zimepitwa na wakati mzanzibar tena mwanamke haitatokea.

Umekurupuka mkuu, nimesema next presidency candidate frm CCM meaning mgombea ajaye wa uraisi na sio raisi..... muwe mnasoma na kuelewa kamanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…