concrete15
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 882
- 323
waje wanisaidie kuchimba kwenye mashamba yangu wamelizemo hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiichukulie poa kauli ya Dr nchimbi...picha ndio kwanza linaanza...ccm inakwenda kuvunjikavunjika..
Msiichukulie poa kauli ya Dr nchimbi...picha ndio kwanza linaanza...ccm inakwenda kuvunjikavunjika..
ukawa wakiacha ubinafsi wakajipanga vizuri mwaka huu ni wao....
Nachoogopa atakufa kama mtu aliyegogwa na gari.Ati kweli yametoka tano bora naomba nijuze mkuu.
Ni kweli yametoka.
Pasco pole it was expected sema mapenzi na watu ambao walichomekwa mkawa mnawaona wanawaunga mkafanya underestimation ,ningepewa hata dk 05 tu za kuongea na EL ningemshauri ahame chama mapemaa kabla hata ya aibu hii haijamkuta,ACT is open for lowasa
Sisiemu hii ndugu, kufuata utraratibu ni mwiko.
Mkuu Balatanda,Mkombe...
Kwa hali halisi huwa hakuna aliye juu zaidi ya chama...
Wengi Zitto alivyofukuzwa CHADEMA walidhani CHADEMA ingetetereka kwa sababu ya umaarufu/nguvu ya Zitto...Badala yake CHADEMA ikazidi kuwa imara...
Bahati mbaya kwa Lowassa kwa wajumbe zaidi ya 30 wa CC inaonekana Simba, Nchimbi na Kimbissa pekee walikuwa upande wake...Na baada ya kuzidiwa wakaamua kuanza kuropoka...
Hivi unategemea baada ya hapi Lowassa ataenda wapi?...Ata cross??....
Je ikitokea Lowassa akapitishwa (binafsi nasubiri taarifa rasmi ya CCM juu ya 5 bora) na hatimae kuwa mgombea wa CCM atakuwa tishio kwa upinzani?...Vipi kuhusu jamii inamuonaje?
Mbona Mramba ni pafupi, anaweza hata akamfuata Kolimba..............kwa muda huu anapaswa kuwa makini sana vinginevyo atamfuata mramba...
waje wanisaidie kuchimba kwenye mashamba yangu wamelizemo hasira
Hakuna kitu kama hicho wewe. Nchimbi sio mkubwa mbele ya chama.
Hahaaaaa.....Mkuu Balatanda,
Unataka 5 bora nyingine wapi zaidi ya hii ambayo imetolewa na akaunti maalum ya CCM kwenye twitter!
![]()
Yaani kauli ya Emmanuel Nchimbi ndio ipelekee kuvunjikavunjika kea CCM?...
Kama Nchimbi na kundi lake wana nguvu basi wangewashawishi wajumbe wa CC kutokubaliana na 'maamuzi/maazimio' ya CC...
Kuanza kulalamikia hayo maamuzi kabla hayajatangazwa ni dalili kwamba hawana nguvu/wamezidiwa na wanaomba huruma ya wajumbe wa NEC na wale wa congress...
CC ndio kikao cha juu kabisa ch maamuzi ndani ya CCM...Hayuko pekee...na kama asingekuwa na kundi kubwa angaufyata wala asingelalamika wazi vile...magamba jipangeni!