Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

ukawa wakiacha ubinafsi wakajipanga vizuri mwaka huu ni wao....

Nkongu ndassu ww ni gwiji humu ndani, unaposema Ukawa waache ubinafsi unaamanisha nn. Isije ikiwa umebeba neno na ww unalitumia tu bila facts. Pendekeza njia sahihi na taja huo ubinafsi kwani najua ww sio kasuku.
 
Pasco pole it was expected sema mapenzi na watu ambao walichomekwa mkawa mnawaona wanawaunga mkafanya underestimation ,ningepewa hata dk 05 tu za kuongea na EL ningemshauri ahame chama mapemaa kabla hata ya aibu hii haijamkuta,ACT is open for lowasa

Huko ndio itakuwa hatari kwake na kwa Hicho kigenge cha act
 
Last edited by a moderator:
Mkombe...

Kwa hali halisi huwa hakuna aliye juu zaidi ya chama...

Wengi Zitto alivyofukuzwa CHADEMA walidhani CHADEMA ingetetereka kwa sababu ya umaarufu/nguvu ya Zitto...Badala yake CHADEMA ikazidi kuwa imara...

Bahati mbaya kwa Lowassa kwa wajumbe zaidi ya 30 wa CC inaonekana Simba, Nchimbi na Kimbissa pekee walikuwa upande wake...Na baada ya kuzidiwa wakaamua kuanza kuropoka...

Hivi unategemea baada ya hapi Lowassa ataenda wapi?...Ata cross??....

Je ikitokea Lowassa akapitishwa (binafsi nasubiri taarifa rasmi ya CCM juu ya 5 bora) na hatimae kuwa mgombea wa CCM atakuwa tishio kwa upinzani?...Vipi kuhusu jamii inamuonaje?
Mkuu Balatanda,
Unataka 5 bora nyingine wapi zaidi ya hii ambayo imetolewa na akaunti maalum ya CCM kwenye twitter!

attachment.php
 

Attachments

  • WAGOMBEA CCM-CC.jpg
    WAGOMBEA CCM-CC.jpg
    82.6 KB · Views: 1,703
1.Members:.Huyu ni ndugu na kipenzi wa mwenyekiti na familia kwa ujumla, alishaandaliwa toka siku nyingi,ndo maana hata jana Rais alipoteua wasaidizi wake Ikulu ilikua lazima mtu ufikirie Mara mbili mbili na huyu ndiye mgombea atakayepeperusha bendera ya chama.
2.Magufuli:Huyu nae utendaji wake pekee ndiye uliempatia nafasi hakuna kiingine japo nae ni swahiba wa karibu wawenyekiti.Kwake kupenya kwenye vikao vya mbele ni ngumu sana Labda busara ya kawaida tu itumike.Anaweza kua PM japo kiuhalisia yeye ni bora kuliko wote walioteuliwa.
3.Asha Rose Migiro: Huyu kwanza jinsia ndiyo kigezo pekee japo nae alikwishaandaliwa toka siku nyingi lakini baadae upepo ukahamia kwa mebe. Kwake kupenya mbele inategemeana na kelele za wanawake wenzake mkutano mkuu.
4.Mama Amina: Huyu jinsia na Uzanzibar wake kama mwanamke ndivyo vilivyombeba, Kuna uwezekano mkubwa akawa makamu wa Rais maana naye kupenyeza kwake mbele ni kelele za wanawake wenzie huko mkutano mkuu.
5.January Makamba: Ikumbukwe kwamba huyu bwana baba yake aliwahi kua katibu mkuu wa chama, hiyo pia ni sababu kwahiyo kuna uwezekano kwamba hii ni fadhila na anaandaliwa kwa baadae kumrithi atakaekua Rais,Sidhani kama Janauary Makamba Anaweza kumkaribia Mwigulu nchema kiutendaji wa kazi.Anayo nafasi kubwa sana kupenyeza huko mbele maana wanaomuunga mkono ni wengi lakini atawekwa kando kama JK 1995 nasubiri baadae.

Ukweli na uhalisia ndo huo!
 
Yaani kauli ya Emmanuel Nchimbi ndio ipelekee kuvunjikavunjika kea CCM?...

Kama Nchimbi na kundi lake wana nguvu basi wangewashawishi wajumbe wa CC kutokubaliana na 'maamuzi/maazimio' ya CC...

Kuanza kulalamikia hayo maamuzi kabla hayajatangazwa ni dalili kwamba hawana nguvu/wamezidiwa na wanaomba huruma ya wajumbe wa NEC na wale wa congress...

mkuu Balantanda, nimekuelewa vizuri sana. Hamna mtu aliye na nguvu mbele ya chama. Lakini hii ya kumuondoa Lowasa ni kama itakuwa na impact fulani kwa chama kama yale tuliyoaminishwa ni kweli kuwa nusu ya wajumbe wa nec na mkutano mkuu wanamuunga mkono yeye.
 
Last edited by a moderator:
Nataka tu kusikia kauli ya Kingunge na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga,Hamis Mgeja na yule alietua kwa chopa pale Arusha maarufu kama "Msukuma".
 
kabisa nepotism imetawala, hao wote wapo kwa ajili ya maslahi ya mkweere labda magufuli tu
 
Hayuko pekee...na kama asingekuwa na kundi kubwa angaufyata wala asingelalamika wazi vile...magamba jipangeni!
CC ndio kikao cha juu kabisa ch maamuzi ndani ya CCM...

Kama wameshindwa kuwasawishi wajumbe wengine karibu 33 usitegemee kaa waa nguvu kihivyo...

Roma locuta est....Causa finita est
 
Back
Top Bottom