ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,752
Hujakosea Mwakyembe atafunua ma file ya kesi ya Richmond
Hapa hii familia imecheza karata zake vizuri sana. Tuone nini kitaendelea baada ya hapa.Sina mengi Ila jiandaeni kuongozwa tena na Familia ya Kikwete.
Kama Ukawa hawatashinda basi kile kilio cha kusaga meno cha miaka 10 ijayo cha kuongozwa na Familia/ukoo wa Kikwete kinaanza tena.
Ni mateso mengine ambayo sitaweza kuyavumilia
Watu wa kaskazini mlishaambiwa na mwana mfalme riz1 kwamba rais hatokaa atoke huko hamkuelewa? Kwa ufupi mmeshabaguliwa. Poleni sana
Nachoogopa atakufa kama mtu aliyegogwa na gari.Ati kweli yametoka tano bora naomba nijuze mkuu.
Hujakosea Mwakyembe atafunua ma file ya kesi ya Richmond
Hebu tusubiri na tuisikie kauli ya huyo mzee 'kibogoyo' anayependa kuvaa mavazi ya kikomunisti ya 'cho en lai' ambaye alipiga mkwara mzito kuwa mtu wake akikatwa patakuwa hapatoshi.wakuu wapi mzee kingunge? hapajaanza kujichimbika?
Mimi naona hizo updates zenu bado hazijawa kitu....na kama zimekuwa kitu Watu wa ccm mjilawamiane wenye maana kama wamemkata jembe la ukweli Lowassa,,Chadema watachkua ikulu kihalali..Chadema pamoja.
Msiichukulie poa kauli ya Dr nchimbi...picha ndio kwanza linaanza...ccm inakwenda kuvunjikavunjika..
Kuna tetesi kuwa yeye ndio mwanzilishi wa ACT, tutajua kama ni kweli au la baada ya hii ishu kuisha kesho.