Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Sina mengi Ila jiandaeni kuongozwa tena na Familia ya Kikwete.
Kama Ukawa hawatashinda basi kile kilio cha kusaga meno cha miaka 10 ijayo cha kuongozwa na Familia/ukoo wa Kikwete kinaanza tena.
Ni mateso mengine ambayo sitaweza kuyavumilia
Hapa hii familia imecheza karata zake vizuri sana. Tuone nini kitaendelea baada ya hapa.
 
Kutokana na wajumbe wengi kutegemea jina la EL kuletwa sasa kambi imehamia kumpinga membe na kumuunga mkono Magufuli,Tshirt simeanzwa kuchapishwa sasa hivi na sunflag Arusha sasa hivi.
 
Watu wa kaskazini mlishaambiwa na mwana mfalme riz1 kwamba rais hatokaa atoke huko hamkuelewa? Kwa ufupi mmeshabaguliwa. Poleni sana

mkuu huo ndo ukweli mchungu... tutarajie kina riz kuwa mawazir nk.
 
Hapa ndipo utakubaliana na ule msemo wa kitaa... Marehemu keshazikwa, watoto wamenyamaza kulia lakini wapambe wa marehemu ndo kwanza wanaendelea kujibamiza ukutani kumlilia marehemu! Mashabiki wa Lowassa, acheni kujitoa ufahamu... yule mzee hakuwa na sifa za kuingia 5 bora unless kama hamzifahamu zile Kanuni 13 ambazo CCM huzitumia! Inawezekana kwamba kuna wengine wamebebwa kuingia kwenye 5 bora lakini Lowassa hakuonewa kutowemo miongoni mwao!
 
Mimi naona hizo updates zenu bado hazijawa kitu....na kama zimekuwa kitu Watu wa ccm mjilawamiane wenye maana kama wamemkata jembe la ukweli Lowassa,,Chadema watachkua ikulu kihalali..Chadema pamoja.
 
Msiichukulie poa kauli ya Dr nchimbi...picha ndio kwanza linaanza...ccm inakwenda kuvunjikavunjika..
 
attachment.php

Masais trans zinafaa kundwa loliondo samunge kwa babu wala sio ikulu ya magogoni.
 
wakuu wapi mzee kingunge? hapajaanza kujichimbika?
Hebu tusubiri na tuisikie kauli ya huyo mzee 'kibogoyo' anayependa kuvaa mavazi ya kikomunisti ya 'cho en lai' ambaye alipiga mkwara mzito kuwa mtu wake akikatwa patakuwa hapatoshi.
 
Mimi naona hizo updates zenu bado hazijawa kitu....na kama zimekuwa kitu Watu wa ccm mjilawamiane wenye maana kama wamemkata jembe la ukweli Lowassa,,Chadema watachkua ikulu kihalali..Chadema pamoja.

Bado ni mapema mno kuwapa ushindi chadema, siasa ni mchezo wa ajabu sana, ndani ya muda mfupi upepo unabadilika. Angalia kinachotokea sasa dodoma...
 
wapi Lizaboni,,???kweli we ndo ccm halisi wengine ni mababaishaji tu
wapi msalani,thatha,mr guy,faiza,etc???

ile ahadi ya ban ya edward sambai izingatiwe hasitie miguu hapa kwa muda wote
 
Msiichukulie poa kauli ya Dr nchimbi...picha ndio kwanza linaanza...ccm inakwenda kuvunjikavunjika..

Yaani kauli ya Emmanuel Nchimbi ndio ipelekee kuvunjikavunjika kea CCM?...

Kama Nchimbi na kundi lake wana nguvu basi wangewashawishi wajumbe wa CC kutokubaliana na 'maamuzi/maazimio' ya CC...

Kuanza kulalamikia hayo maamuzi kabla hayajatangazwa ni dalili kwamba hawana nguvu/wamezidiwa na wanaomba huruma ya wajumbe wa NEC na wale wa congress...
 
Back
Top Bottom