Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hahaaaaa.....

Nkwingwa....

Hiyo akaunti ni 'verified'?...

Ngoja nibaki kuwa Tomaso Nkwingwa...

Hata mimi bado siamini sana maana kuna hackers wengi sana siku hizi. Hizi account zinaweza kuanzishwa na mtu yeyote. Nadhani listi itakayotolewa na msemaji wa chama ndio itakuwa ya kuipa uzito zaidi.
 

Ngoja tusubiri na tuone.....

So far kuko kimya...Hakuna matamko wala matishio...Zaidi ni malalamiko ya Nchimbi na wenzake wawili...
 
Last edited by a moderator:
Hapo hakuna kitu, hiyo ni gear tu ya kimsindikiza Membe. Mgombea aliyepangwa na Kikwete kugombea ni Membe hao wengine ni wasindikizaji wake.
 
Hayuko pekee...na kama asingekuwa na kundi kubwa angaufyata wala asingelalamika wazi vile...magamba jipangeni!

Tutaona kama kweli haya ya kuvunjika chama yatatokea. Maana kwa hiyo listi ni pigo kubwa sana kwa ile kambi.
 
Haa ha ha..upo makini sana kuangalia
Mkuu,
Sisi Watanzania tuna tatizo la kutokuangalia message ambazo ziko background!

Message ambazo ziko background ndiyo zinaeleza ukweli kuliko maneno yanayotoka mdomoni.

Body language inatoa message zilizoko background.

Hiyo video inaeleza mengi sana kuhusu hatima ya Uchaguzi Mkuu!
 
Nataka tu kusikia kauli ya Kingunge na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga,Hamis Mgeja na yule alietua kwa chopa pale Arusha maarufu kama "Msukuma".

Hao presha zitakuwa zimepanda, bosi wao naye hali yake sijui ikoje huko aliko.
 
Kwa yaliyojiri kwenye CC ni dhahiri JK anataka kuigeuza nchi hii kuwa ya kifalme.

Iwapo watanzania watabugi step na kumpigia kura 'bamdogo' basi tutarajie next President wa year 2025 atakuwa Riz-One.
 
Nilikuwa naozea nyumban kutoka na kukosa ajira sasa naamini Mungu amefanya miujiza kwa kuwatoa ccm, Mungu bariki Chadema october
 

Mimi sielewi kwa nini watu wanalipuuzia hilo la tume ya uchaguzi [ambao ndo marefa wa mechi].

Huyi Jaji Lubuva hana tofauti na huyo Jaji Ramadhani. Naye [Lubuva na nadhani na timu yake hususan viongozi wa tume] ni kada wa CCM tu.

Sitegemei kabisa kuwaona wakimtangaza mshindi tofauti na mgombea wa CCM.

Sisi Tanzania bado hatujawa na tume 'huru' ya uchaguzi. Hebu jaribu kuangalia tume za chaguzi za Nigeria na Kenya tu, kwa mfano, halafu unambie zinaitwaje [jina kamili].
 
ukawa wanachukua nchi saa nne asubuhi tarehe 25 october,viva ukawa nimewakubali mme wadhoofisha hawa mafisadi takribani miaka 10 mfululizo,

pamoja na manguvu yao, viburi, ubabe, kejeri dharau hakika nimekkiri mungu mkubwa, kama alivyo msambaratisha pharao kwa fimbo ya musa na haruni, kama alivyo msambaratisha goliath kwa kommbelo la daudi wa jesse ndivyo anavyoenda kuisambaratisha ccm, amein

historia huandikwa ili itufundishe , lakini wenzetu ccm vitabu vya historia wana fungia maandazi, hakika hawana wa kumlaumu isipokuwa wajilaumu nafsi zao
 

No doubt,and we could be making fallacious arguments to deny the presence of UDINI in the given presidential candidates top five,thereby,only Magufuli on the other side of believers,the rest belong to the same! Men with great mind,watch out.
 
Ni dhairi kuwa wanaanda family dynasty kitu ambacho upaswi kukubaliana nacho uyo mteuliwa Wa kwanza kapikwa
 
Namhala,

Kama Kikwete amekuwa rais wa Tanzania basi naamini yeyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais pia.

Hahahaaaa......
Nhamala,
Nchi yetu imekuwa ni kama shamba la walevi.

Yaani Kamati Kuu inatupa eti message inayosema Makamba Jnr anaweza kuwa Rais wa Tanzania.

Huyu kijana kwanza ni mnafiki nafiki na pia huwa ninamuona kama tapeli fulani wa kisiasa.

Nitakubaliana na Kamati Kuu kama wamemuweka ili kusafisha njia kwa Membe. Kama wamemuweka wakiwa serious, basi CCM ina matatizo makubwa sana huko mbeleni.

Hata kama ni ujana, kuna vijana wengine walikuwa better zaidi ya huyu kijana.

Ama kweli, uwezo wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete ndiyo una akisi hali ya chama na chaguzi za ndami ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…