Eggy Muffy
Senior Member
- Oct 31, 2014
- 151
- 38
JK kafanya umafia ambao Mkapa ulimshinda 2005.
Kwani hao watano wametangazwa wapi wazee? Au mnataka kututia wasiwasi sisi wadau wa safari ya matumaini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JK kafanya umafia ambao Mkapa ulimshinda 2005.
Wafuasi wa Lowasa watamtoa Membe kwa kura ya hasira. But this is a Makumbusho guy! Who knows. Magufuli anachagulika nje ya Chama. Anyway, let's wait and see. JK has exercised what Mkapa failed to do!
Mimi sielewi kwa nini watu wanalipuuzia hilo la tume ya uchaguzi [ambao ndo marefa wa mechi].
Huyi Jaji Lubuva hana tofauti na huyo Jaji Ramadhani. Naye [Lubuva na nadhani na timu yake hususan viongozi wa tume] ni kada wa CCM tu.
Sitegemei kabisa kuwaona wakimtangaza mshindi tofauti na mgombea wa CCM.
Sisi Tanzania bado hatujawa na tume 'huru' ya uchaguzi. Hebu jaribu kuangalia tume za chaguzi za Nigeria na Kenya tu, kwa mfano, halafu unambie zinaitwaje [jina kamili].
hiyo ndio itakuwa starting point nzuri, kwake, changamoto zilizopo ndo zitamfanya afikiie zaidiRais ajaye ataongoza kwa tabu sana nchi hii. Kwanza uchumi umeporomoja, deni la taifa limepaa, hujakaa sawa ukigeuka huku unakutana na kuporomoka kwa shilingi dhidi ya dola ya kimarekani, kabla hujapumzika unakuta maisha ya wananchi yamekua magumu zaidi, wakati unatafakari nini ufanye unamkuta bwana mamvi kaunda kambi rasmi ya upinzani ndani ya ccm na kabla hujakaa sawa mtaani ajira hakuna, bidhaa zimepanda bei, etc. etc. Matatizo juu ya matatizo. Pole sana mheshmiwa rais mtarajiwa.
Namhala,
Kama Kikwete amekuwa rais wa Tanzania basi naamini yeyote mwenye akili timamu anaweza kuwa rais pia
Hahahaaaa......
Pole Mh. Lowasa.
Mbona kesha anza kuchimba makaburi huku Arusha!!!wakuu wapi mzee kingunge? hapajaanza kujichimbika?
Kwa mpango huu ccm wana kazi ya ziada kupata ushindi.Asanteni kwa kuwapa urahisi wapinzani
Usidhani mkuu, Membe ndio rais wa awamu ya 5Mm navyozani anafaa ni membe kuwa raisi
Mbona mnasukumizia Kikwete Zigo, kwani mle alikuwemo peke yake!? wacheni kumchonganisha na marafiki zake.JK kafanya umafia ambao Mkapa ulimshinda 2005.
Hahaa naona kina Ridhiwani wanazidi jiongezea uhakika wa kuendelea tafuna nchi...
katoka baba anaingia bamdogo...
Sina hakika kama CCM itaingia ikiwa moja kwenye uchaguzi huu....
Kwani hao watano wametangazwa wapi wazee? Au mnataka kututia wasiwasi sisi wadau wa safari ya matumaini?