Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Wafuasi wa Lowasa watamtoa Membe kwa kura ya hasira. But this is a Makumbusho guy! Who knows. Magufuli anachagulika nje ya Chama. Anyway, let's wait and see. JK has exercised what Mkapa failed to do!

Hilo hata mimi naliona. Huenda team Lowasa wakampigia debe Magufuri kwa hasira ya Membe kupitishwa. Mbali na hapo naona Magufuri anaweza kukukwama maana Membe naye ana watu NEC na mkutano mkuu.
 
Basi ndio mwisho wao...Top 5 nyepesi hata kwa ubunge tu hawapenyi...

Ni maamuzi ya chama au wachache?
 


Hahaa naona kina Ridhiwani wanazidi jiongezea uhakika wa kuendelea tafuna nchi...

katoka baba anaingia bamdogo...

Sina hakika kama CCM itaingia ikiwa moja kwenye uchaguzi huu....
 
hiyo ndio itakuwa starting point nzuri, kwake, changamoto zilizopo ndo zitamfanya afikiie zaidi
 
Kwa mpango huu ccm wana kazi ya ziada kupata ushindi.Asanteni kwa kuwapa urahisi wapinzani

Ile Tume huru ya Uchaguzi iliyoahidiwa na Vyama vya siasa ikiwemo CCM kupitia TCD iko wapi? Imeshindikana nini? Kwanini Serikali na CCM wanajifanya hawakumbuki yale makubaliano? Je, ni kweli wamesahau, hawaoni umuhimu wa Tume huru, au ni mpango wa makusudi? Nini lengo la CCM na Serikali kujifanya wamesahau mapatano yale ambayo yalitangazwa na JK akikubaliana na maazimio yale?

Uchaguzi wa 2010 ulikuwa huru na haki? Ripoti ya waangalizi huru kuhusu Uchaguzi ule iko wapi? Tume ya Uchaguzi inaaminiwa na Vyama vyote vya siasa ambao ndio wadau muhimu wa Uchaguzi?

Kujifanya hatuyajui hatuyaoni hayo, ni kuepuka ukweli ambao kimsingi hauepukiki. Ni vizuri kwenda kwenye Uchaguzi wakati hayo yakiwa yamepatiwa suluhu.

Vv
 
Mm sioni tatizo hapo. Ccm hawana mtu mwingine zaidi ya uyo member na kama yupo hakutangaza nia. Lowassa HATUFAI.
 
Hahaa naona kina Ridhiwani wanazidi jiongezea uhakika wa kuendelea tafuna nchi...

katoka baba anaingia bamdogo...

Sina hakika kama CCM itaingia ikiwa moja kwenye uchaguzi huu....

Kwa jinsi wanavyopenda kutafuna nchi mimi naamini mwishowe wataungana tu kumpiga tafu mpeperusha bendera wao.

Hii nchi tamu bana....hususan kama unayo meno ya kuitafunia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…