Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kamanda mimi nimefurahi zaidi ya saaaana! Rais gani anahonga hadi wadhamini alafu anatuahidi kukomesha rushwa!? Marafiki zake ni Chenge , Tibaijuka, Rostam na........!!! Tafakaruni watanzania!
Kuna watu niliwaambia kuwa jamaa hafai, wakaniwakia kinyama. Niliwaambia kwa macho meupe kuwa huyu Bw. ENL sio mzalendo kwa taifa na anaonea watu, walinivimbia, nadhani sasa wamenyamaza kimya kama ambavyo nami ningenyamaza kimya kama angepitishwa
 

Anafaa kuongoza hili taifa kwa mtizamo wa haraka haraka
 
2015 ilipaswa iwe zamu ya Zanzibar!, Jee kwa majina haya, jee bado kuna uwezekano wa Zanzibar kupatiwa haki yake?!.

Pasco

Mimi hizi siasa za zamu sikubaliani nazo kabisa!!!

Tanzania ni nchi moja, rais atoke popote ilimradi ana ushawishi na uwezo wa kuongoza nchi, full stop
 

mkuu samahani naomba kama unaweza ututafsirie basi na sisi kwa kiswahili ukiweza na kiha pia
 


Anafaa kuongoza hili taifa kwa mtizamo wa haraka haraka

Sitii neno...you said it all!!
 
membe makamba migiro mangufuli Amina

mhhh hapo Magufuli PM, Amina Vice, Migiro Foreign minister, Makamba wizara ya habari . Ni watu hawana majina makubwa ila walipata washauri wazuri nchi itasonga mbele
 
Hapo ni mzee wa 2tabomoa nyumba za wanaccm 2tabomoa nyumba za wanaukawa lazma ashike inchi
 
Hao wote walioteuliwa hakuna hata mwenye uwezo wa kuongoza hii nchi. Yatakuwa yaleyale ya mkwere.
 
Mbona hali ya kawaida,anatakiwa 1 so lazima wengine wasio na sifa wapishe njia. Hahahahha
 
Yaani bado najiuliza hv ni nani hasa aliyeshika kisu??? Dah wamechinja!!!
 
Anafaa kuongoza hili taifa kwa mtizamo wa haraka haraka

Naungana na ww kaka, jamaa anaweza kama akipenya kwenye uchaguzi Mkuu, ujasiri wake wa kukariri kilomita za barabara na ufuatiliaji madhubuti wa mambo vinampa sifa kwa wananchi.
 
Na sasa tutajua kama ile misaada na harambee zote zilitoka moyoni ama ulikiwa uwekezaji?
 
Jamaa alijiaminisha kuwa ni chaguo sahihi nyodo zake na kujiamini kulizidi
Ukweli mzee huyu Katiba imemponza, walipompa maelekezo yakufanya akafata hakujua wanamng'ong'a kiko wapi mzee wa viwango?
Kwangu mimi wewe ulikuwa hufai Hata kuchukua fomu tu kalime tumbaku sasa,

Ila usisahau unatembea na laana ya Watanzania kwa kupindisha mapendekezo ya Katiba tuliokuwa tunaitaka
 
Mhhh, watu wamekesha humu ndani...!!

Daaaah, yaani ndo kwanza natoka kuamka nakutana na majina haya. Hapa utabiri wangu unaenda kutimia, Magufuli ndiye mgombea wa ccm... Masikini Lowassa...!! Ile mihela aliyokuwa akitapanya sijui yu ktk hali gani?? Hivi wamemkata kwa vigezo gani lakini wadau?? Team yake wameyapokeaje matokeo haya? Yaani namuona Dr Slaa akiingia kiulaini sana pale Mgogoni

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…