Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Honera mama salma kikwete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu niliwaambia kuwa jamaa hafai, wakaniwakia kinyama. Niliwaambia kwa macho meupe kuwa huyu Bw. ENL sio mzalendo kwa taifa na anaonea watu, walinivimbia, nadhani sasa wamenyamaza kimya kama ambavyo nami ningenyamaza kimya kama angepitishwaKamanda mimi nimefurahi zaidi ya saaaana! Rais gani anahonga hadi wadhamini alafu anatuahidi kukomesha rushwa!? Marafiki zake ni Chenge , Tibaijuka, Rostam na........!!! Tafakaruni watanzania!
Hapo ni Magufuli wakuu, tangu nisome Raia Mwema la juzi nikaona kabisa kumbe wengi wetu humu tulikuwa tunakwenda kishabiki, jamaa walizungumzia jinsi Kikwete alivyokuwa anafurahi kuongozana na Magufuli kwenye ziara za Mikoani maana hakuna kuzomewa tofauti na Mawaziri wengine, pi ni mtu aliyechukua fomi bila mbwembwe wala tambo za kusema ooh nitakomesha rushwa au kubeza hii serikali, pia suala la kuwa anatoka kanda ya ziwa ambako kuna wapigaji kura wengi nayo pia imekuwa kete muhimu.
Namtakia kila la kheri avuke hapo japo kwangu sijaonaga msafi huko CCM.
2015 ilipaswa iwe zamu ya Zanzibar!, Jee kwa majina haya, jee bado kuna uwezekano wa Zanzibar kupatiwa haki yake?!.
Pasco
Salama pekee ya CCM ni wagombea wengine waliokatwa mbali na Lowassa kuwa in agreement na huu uteuzi. Ninaimani walichelewa ili kupata general consensus yao. naamini kabisa leo JK kapiga simu thelathini kadhaa kubembeleza watu.
ofcourse kuna soft targets kama kina kigangwala,nyarandu etc.., ila kuna radicals kama kina Sumaye,Lowassa,Chikawe,Sitta,Mwakyembe, hawa wanatakiwa wawe handled with care.
Sasa nimeanza kuelewa confidence ya Membe ilitokea wapi. He had known all along he was shoe in for the top 5 and may be top 3. as much as i hate to admit, him and magufuli are front runners,save for a strong challenge from Migiro.
But crazier things have happened, god forbid wasimkabidhi nchi Makamba..,we will head for the dogs.
Hapo ni Magufuli wakuu, tangu nisome Raia Mwema la juzi nikaona kabisa kumbe wengi wetu humu tulikuwa tunakwenda kishabiki, jamaa walizungumzia jinsi Kikwete alivyokuwa anafurahi kuongozana na Magufuli kwenye ziara za Mikoani maana hakuna kuzomewa tofauti na Mawaziri wengine, pi ni mtu aliyechukua fomi bila mbwembwe wala tambo za kusema ooh nitakomesha rushwa au kubeza hii serikali, pia suala la kuwa anatoka kanda ya ziwa ambako kuna wapigaji kura wengi nayo pia imekuwa kete muhimu.
Namtakia kila la kheri avuke hapo japo kwangu sijaonaga msafi huko CCM.
Najiuliza, nani zaidi kati ya Magufuli na Membe? Mie nadhani Magufuli ana advantage sana maana Membe kwanza ataathirika na kundi la Lowassa, pili Membe ana makundi magufuli hana, Tatu kashfa ya membe kuwa ktk familia ya mkuu wa kaya yaweza muondolea sifa hiyo, lakini pia ukilinganisha utendaji wa membe na Magufuli una tofautiana sana.
Wana jamvi mnaonaje hili?
Anafaa kuongoza hili taifa kwa mtizamo wa haraka haraka
membe makamba migiro mangufuli Amina
Anafaa kuongoza hili taifa kwa mtizamo wa haraka haraka