Inaonekana Makongoro aliwekwa kwa kazi maalumu kuyatamka yale ambayo wazee walishindwa kuyatamka, na ku-resonate kwa mwananchi wa kawaida kuwa CCM imewachoka wafanyabiashara na mafisadi, na inataka clean slate. Angeyasema Mkapa haya au Karume, watu wasingeelewa. Makongoro did a great job as an attack front.
Nadhani kuna kanafasi kwenye chama chenu ameandaliwa, aliifanya kazi yake kwa ufanisi kwa kweli.
Membe ni jembeeeeeeeeeeeeee, Magufuli ni Mkurupukaji.
ndio unagundua hivi sasa kuwa ccm haina maana??
Usifanye kosa mwaka huu
yani mkuu hujaelewa anachofurahia hapa?Hata hao nimafisadi tu nashangaa unachofurahi sijui nin
Tafuta majani machanga ya Mpera yaoshe then tafunia hapo kwenye jino,litauma for sometime but maumivu yakikata ndio nitolee hapo utasahau kabisa. Hakikisha umetafuna mengi kidogo ili yale maji maji yake yaingie hapo kwenye jino.
Habari hii si rasmi bado ni uvumi tu na makisio tu,Ila kama ni kweli ccm wanayo kazi naamini wafuasi wake waweza iadhibu ccm kwenye sanduku la kura,ila kama angepita kungekuwa na uhakika wa ccm kushinda kwenye uchaguzi mkuu.
Nilishasema toka mwanzo CCM hata wangemsimamisha yule mkulima bado watashinda tu sababu UKAWA hamna mgombea makini Dr.Slaa atabikia kuwa rais kivuli tu.Ndo maana ccm wamemkataa?
AMESHAKATWA TEAM LOWASA KURA ZENU WAPENI UKAWA
Hijawahi kutokea, mbwembwe zoote, pesa zoote na nguvu zoote alizotumia mh Edward lowasa na sasa ametolewa nje!
Janja ya lowasa ilionekana toka zamani alijifanya kuwa na upendo kwa makundi mengi ya kijamii ilhali akijulikana dhahiri kuwa hafai ktk urais.
Nimefurahi sana anguko la ufalme huu wa Giza CCM!