Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Inaonekana Makongoro aliwekwa kwa kazi maalumu kuyatamka yale ambayo wazee walishindwa kuyatamka, na ku-resonate kwa mwananchi wa kawaida kuwa CCM imewachoka wafanyabiashara na mafisadi, na inataka clean slate. Angeyasema Mkapa haya au Karume, watu wasingeelewa. Makongoro did a great job as an attack front.

Nadhani kuna kanafasi kwenye chama chenu ameandaliwa, aliifanya kazi yake kwa ufanisi kwa kweli.

mkuu kwani we hua hujui kiswahili?
 
Wadau,

Amani iwe nanyi. Kiukweli kuna dalili fulani hivi tutaongozwa na rais mwanamke. Ndugu zangu, hamjahisi kitu kama hicho?
 
ndio unagundua hivi sasa kuwa ccm haina maana??
Usifanye kosa mwaka huu

Leteni kura UKAWA mabadilikO mmeyakosa ccm sasa mnatakiwa kutafuta kwenye SAFARI YA UHAKIKA UKAWA
 
Kauli ya nape ilikua inamaana pana sana, sasa tumeona upana wake... kwa kua wapo wanasema mizengwe mingi ming imetumika kupitisha 5bora si kwa lowasa tu bali hata kwa wale waliokua na nguvu kias flan kama mwigulu n.k

my take:
Hongera nape umeshinda tusubir pia october kama utashinda...
 
Tafuta majani machanga ya Mpera yaoshe then tafunia hapo kwenye jino,litauma for sometime but maumivu yakikata ndio nitolee hapo utasahau kabisa. Hakikisha umetafuna mengi kidogo ili yale maji maji yake yaingie hapo kwenye jino.

Sawa Na Akhsante Mkuu Nitajaribu.
 
Walimshangalia sana bungeni akajua ndo anapendwa kumbe walikuwa wanampa faraja ya mwisho mamvi
 
Niki-report direct kutoka dodoma asubuhi hiii inasemekana kwa mzee wa mafuriko au mzeee wa TRIP au JOURNEY OF HOPE, hali ni mbaya saaaaaaaaaana wakuu nataka niwarushie picha halisi ya jinsi ilivyo hapa. Hivi ni Nani aliyezuia FLOODS kwa mikono eeeh, Nauliza inamaana VISION za Mzee wa WA Matusi Ya MAHARAGE Kwamba etiii Mzee wa TRIP OF HOPE ni ELIYAA,

Kambi Ya UASI IMEVURUGWAAAAAAAAAAA................

Hali ya TAHARUKI NA VILIO KWA MZEE WETU YULEEEEEEEE.

JE TRIP OF HOPE NDIO MWISHO AU NDIO INAANZA!

CHI CHI EMU MOVIE NDIO KWANZA INAANZA MAANA UKAWA WANATAKA KU-PARK BUS, JEE MZEE NAE ATA-LEAVE BUS!

SAFISHA MACHO PICHA LINAANZA SOON.
 
Habari hii si rasmi bado ni uvumi tu na makisio tu,Ila kama ni kweli ccm wanayo kazi naamini wafuasi wake waweza iadhibu ccm kwenye sanduku la kura,ila kama angepita kungekuwa na uhakika wa ccm kushinda kwenye uchaguzi mkuu.

Ccm haiwezi kushinda. Ufalme ulishaondolewa kwao!
 
wadau.
kiukweli hii cc imenifanya nipoteze aki angu ya kupiga kura.... baada ya kumtupilia mbali mzee angu low as a ninaemwamini atakae ibadirisha hii inchi... ila poa sitoki ssm ila kura angu imepotea bvr zao warudishe waliko zitoa ati wameailisha tena kuandikisha mpaka July 20s.. ili jazba zipunguee kwa taarifa kidonda hiki walichonipa cc ni cha miaka mitano. kila la kheri eanafamilia.
 
Ndo maana ccm wamemkataa?
AMESHAKATWA TEAM LOWASA KURA ZENU WAPENI UKAWA
Nilishasema toka mwanzo CCM hata wangemsimamisha yule mkulima bado watashinda tu sababu UKAWA hamna mgombea makini Dr.Slaa atabikia kuwa rais kivuli tu.
 
Hijawahi kutokea, mbwembwe zoote, pesa zoote na nguvu zoote alizotumia mh Edward lowasa na sasa ametolewa nje!

Janja ya lowasa ilionekana toka zamani alijifanya kuwa na upendo kwa makundi mengi ya kijamii ilhali akijulikana dhahiri kuwa hafai ktk urais.

Nimefurahi sana anguko la ufalme huu wa Giza CCM!


End of an era.
 
Membe alimdhalilisha sa steven wasira kwa kumchomekea picha iliyopishanisha vishikio vya suti. Lakini nataka niseme neno hapa.
 
Back
Top Bottom