ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Mgombea wa CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli. Safari ya Membe itaishia NEC ili kulipia gharama za lip services za watu wa Lowassa. Dr. Asha Rose atapewa u PM, Amina Mgombea Mwenza, January atapewa MFA!.
Pasco
Kichwa hakijakatwa na ndio kinachofanya kazi nyie ndio walele
Ccm vipande -vipande mnara wa babeli umeshaanza kubomoka wameshaanza kupishana mpaka lughalakini ulisema lowasa lazima awe rais ndani ya ccm au nje ya ccm. vip tena mbona umeanza kugeuka?
Mkuu,
Yes, Mpasuko ninauona kama atapitishwa Membe kuwa mgombea Urais kwa sababu Timu Lowassa haiwezi kukubali ashinde Urais.
Ninategemea kwa sasa yale maamuzi magumu ambayo tulikuwa tunaelezwa yanapatikana kwa Lowassa pekee!
makufuli ana advantage sana
Kikao kinachofuata kina uwezo wa kuliiomba jina la LOWASSA likarudi so msife moyo.
mkuu kwani we hua hujui kiswahili?
Wote hawafai,huyo magufuli anapenda sifa za kihaya
Mkuu The Boss, politics sio static, ni very dynamics na zinachange with time!, katika uchambuzi wangu wote, sikuwahi hata mara moja moja kulifikiria jina la Amina!. Kati ya watano hao, sikutegemea CCM ituletee Waislamu watatu wakati wanaelewa fika safari hii ni zamu ya Wakristo, sikutegemea CCM ituletee wanawake wawili wakati wagombea wanawake wameingizwa tuu ili kuzugia kwa ajili ya kuvunia kura za wanawake. Mpaka hapa bado tunamzungumzia mgombea wa CCM, "jamaa yangu" bado ndie rais wetu 2015 ila kupitia nje ya CCM!.Last time ulisema hata Lowassa akikatwa na CCM atakuwa Rais October
mbona unajikana tena now
UKAWA naona bado mnaendelea kuwachambua wagombea wa CCM mtachagua wenyewe nani mnaweza kupambana naye.