Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mgombea wa CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli. Safari ya Membe itaishia NEC ili kulipia gharama za lip services za watu wa Lowassa. Dr. Asha Rose atapewa u PM, Amina Mgombea Mwenza, January atapewa MFA!.

Pasco

lakini ulisema lowasa lazima awe rais ndani ya ccm au nje ya ccm. vip tena mbona umeanza kugeuka?
 
CCM imekuwa na makundi tangu huko nyuma ila makundi ya mwaka huu yanaweza kukipeleka chama kusikojulikana, hii vita ni kali na gharama zake haziko mbali, labda watokee wenye busara waweke mambo sawa.
 
membe alijipnga mda sana ...ana kundi kubwa kwenye nec na mkutano mkuu...ccm ilikua na makundi mawili membe na lowasa wengine walikua washikwa pua tuuu........mtu kama magufuli hajajipanga kashtukizwa tu yumo tano bora ataanzia wapi kusaka wajumbe wa nec wakati mda wenyewe umekwisha..kesho au leo mkutano mkuu...jk alijipanga sana na anajua kuzicheza fitna...membe ana kundi kubwa na kuna wajumbe wengine wa edo watahamia kwake
 
lakini ulisema lowasa lazima awe rais ndani ya ccm au nje ya ccm. vip tena mbona umeanza kugeuka?
Ccm vipande -vipande mnara wa babeli umeshaanza kubomoka wameshaanza kupishana mpaka lugha
 
Mkuu,
Yes, Mpasuko ninauona kama atapitishwa Membe kuwa mgombea Urais kwa sababu Timu Lowassa haiwezi kukubali ashinde Urais.

Ninategemea kwa sasa yale maamuzi magumu ambayo tulikuwa tunaelezwa yanapatikana kwa Lowassa pekee!

system imemuandaa Membe kuwa Rais kwa muda wa miaka 10......Amekuwa exposed kwenye maeneo yote muhimu ya nchi hii

Kwa Tanzania CCM kushinda ni Pie....kwa sababu kila kitu ni cha kwao...hakuna namna ya kusema eti wanakubali kushindwa

Whether kutakuwa na mpasuko au la...The next president is Membe...Usalama wa Taifa wamemuandaa muda mrefu

Prime Minister ni Magufuli

Ni rahisi sana kuitawala Tanzania kwa nature ya Watanzania tulivyo Mazezeta
 
Ndugu yangu makufuli ni yale ya kufungia milango,tena mengi.Shule za kata hizo,kazi ya Kikwete na rafiki yake Ngoyai, wametuharibia elimu sana,waondoke tu kwenye upeo wa macho yetu kwa kweli.
makufuli ana advantage sana
 
Ccm wanapenda kwenda vice versa na maoni ya watu, mkimshabikia sana Magufuli nae atakatwa!
 
UKAWA naona bado mnaendelea kuwachambua wagombea wa CCM mtachagua wenyewe nani mnaweza kupambana naye.
 
Last time ulisema hata Lowassa akikatwa na CCM atakuwa Rais October
mbona unajikana tena now
Mkuu The Boss, politics sio static, ni very dynamics na zinachange with time!, katika uchambuzi wangu wote, sikuwahi hata mara moja moja kulifikiria jina la Amina!. Kati ya watano hao, sikutegemea CCM ituletee Waislamu watatu wakati wanaelewa fika safari hii ni zamu ya Wakristo, sikutegemea CCM ituletee wanawake wawili wakati wagombea wanawake wameingizwa tuu ili kuzugia kwa ajili ya kuvunia kura za wanawake. Mpaka hapa bado tunamzungumzia mgombea wa CCM, "jamaa yangu" bado ndie rais wetu 2015 ila kupitia nje ya CCM!.

Pasco
 
UKAWA naona bado mnaendelea kuwachambua wagombea wa CCM mtachagua wenyewe nani mnaweza kupambana naye.

Wewe naweeeeeeee.....unazuia watu kujadili...mbona wewe hua unamjadili Slaa...Tena ukimsikia yanagonga pichu
 
Watu now wanawacheka team Lowassa ..
tumesahau kuna team Makongoro nao wanastahili pole za kutosha tu
Kwa kweli hiki kilio ni kikuubwa sana

Halafu kuna team Mwigulu ya kina Shonza na Mtella mwampamba
dah.....huu msiba ni mkubwa mno kumbee

poleni saana.....sasa tutazame yajayo
 
Back
Top Bottom