Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha kwa kila mtanzania na mwenye kupenda maendeleo ni jinsi ambavyo mambo yanaendelea ndani ya chama chetu tawala.Twakipenda chama chetu tawala na twampenda mh.Lowasa kutuongoza wananchi katika kipindi hiki.Hakika twaamini mh.Lowasa ndiye ataibuka kinara katika haya na hakuna haja ya kukata rufaa wala nini bali Mungu ndiye atatenda kwani pale tunapoona pagumu ndipo Yeye huibuka na kujitukuza .Asante ccm kwa haya kwani mwazidi kutuonyesha kuwa Lowasa ndiye chaguo sahihi kwa wakati huu.Hatutoogopa kamwe kwa hali yoyote kwa hali yoyote inayoendelea kwani twaamini mh.Lowasa ndiye kinara ,twakupenda rais wetu mtarajiwa twakupenda Lowasa si jambo dogo kupata wadhamini 870,000 hii yaonyesha jinsi gani tunakupenda na kukukubali.
Team Lowasa forever

Never gv up
 

Kwa nje alituaminisha kuwa ana nguvu kubwa sana ilhali ndani kulikuwa hakuna nguvu ya kutosha ya kumsaidia kupata ushindi wa hata goli la mkono!

Ni vyema kukubaliana kutokukubalia..., so many why's wont give you answers!!
 
We nae siutoe maoni yako? Mbona unadandia tu hoja za watu na Ku_comment nonsense! Waha bana ni shidaaaah! Mwakeye! nakutania.

hahahaha usijali mkuu ila kama na wewe hujapata muda wa kuyaangalia hayo mavideo yake usiongee kitu,, mi nilikua nasema tumalize kwanza hili lililopo then hayo mavideo tuyaangalie badae wakati akili ipo sawa manaake wengi wetu sa hizi tumechanganyikiwa kwa hasira, furaha ama mshangao ama hata tu kiupambe
 
Break News!

Kuna uwezekano mkubwa kikao cha kamati kuu kikavunjika au kikavurugika Lowassa assipopitishwa........

Updates zinakuja kaa chonjo kwa maajabu ya karne
 
Walitangaza leo star tv watakuwa live kutoka dodoma,Kupitisha jina moja mbona kimya?
Au wanaogopa mwenye taarifa tafadhali.
 
anahamia chama gani sasa, au amesalenda?
 
Nadhani itakuwa hivyo kwani lengo la JK & family ni ndugu yao Membe apite kwa kila hali, sasa ukimweka Membe na Magufuli atapenyaje? Hivi ni kweli Makamba ni bora kuliko hata Magufuli? Labda kwa maslahi yao.
Binafsi namwona huyo dogo kati ya mawaziri dhaifu tuliowashuhudia awamu hii, eti anapenya hadi tatu bora. Maslahi... maslahi..... maslahi.... Sasa ndo natambua kuwa JK & family wanatimizi kilichotabiriwa kuwa atamweka mtu atakayemkontorol kwa rimot kutoka kijijini kwake. Na huyo atakuwa Membe tu, ndugu yake wa damu.
 
Lowassa baba tunakukubali sana! na tunajua wewe sio fisadi kama watu wanavyoaminishwa hapa! Binafsi sihitaji raisi ambaye ni maskini!

Raisi asiye na pesa za kutosha huwa ni msumbufu ! Atajitahidi hata bibi yake awe bilionea, na kujazana ikulu! hatutaki raisi asiye na pesa za kutosha ambaye atawafanya vitukuu wake kumiliki masemi nchi nzima na kuwa wauza unga China nakulindwa pale wanapokamatwa!

Lowassa unapesa za kutosha! tunaamini ulikua na mapenzi ya dhati kwenda ikulu! sio kuchuma pesa! wmekufanyia roho mbaya tu! Kubwa zaidi watanzania wengi wanakukubali!

Lowassa hujachelewa! tafuta sehem nyingine ya kupitia! Ingekua njema sana kama ukawa wangekupa nafasi hiyo!

Mimi sio mfuasi wa CCM, ila Lowassa namkubali! Lowasa sio fisadi! ila kwakua watanzania tumekariri kua mtu akipata utajiri mkubwa sana tunaanza kudhani kua atakua amefanya ufisadi! kama sio ufisadi watasema Freemasons.

Ukawa mkaribisheni Edo! huu ndo utakua mwisho wa CCM!
 
Wana bodi,Ule msemo kwamba CCM inamilikiwa na mafisadi unatimia, kundi hilo kubwa sasa linapambana na vifisadi katika kile kinachoitwa kugombea Urais. CCM haina pa kutokea zaidi ya kufa kwa kupoteza katika chaguzi zake zote. Binafsi nilikuwa nina hofu na EL ,Makongoro na Agustino Ramadhani.Ndio wagombea pekee wa CCM ambao wangeweza kupambana na Ukawa. Hawa waliopo ukiongeza na mgawanyiko huu mnyukano ni wazi kabisa kuwa Ukawa watumie nafasi hii nyeti. CCM kwisha habari
 
Mwanzo wa mwisho wa Kingunge, tumbo lake limempeleka kwenye aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…