Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha kwa kila mtanzania na mwenye kupenda maendeleo ni jinsi ambavyo mambo yanaendelea ndani ya chama chetu tawala.Twakipenda chama chetu tawala na twampenda mh.Lowasa kutuongoza wananchi katika kipindi hiki.Hakika twaamini mh.Lowasa ndiye ataibuka kinara katika haya na hakuna haja ya kukata rufaa wala nini bali Mungu ndiye atatenda kwani pale tunapoona pagumu ndipo Yeye huibuka na kujitukuza .Asante ccm kwa haya kwani mwazidi kutuonyesha kuwa Lowasa ndiye chaguo sahihi kwa wakati huu.Hatutoogopa kamwe kwa hali yoyote kwa hali yoyote inayoendelea kwani twaamini mh.Lowasa ndiye kinara ,twakupenda rais wetu mtarajiwa twakupenda Lowasa si jambo dogo kupata wadhamini 870,000 hii yaonyesha jinsi gani tunakupenda na kukukubali.
Team Lowasa forever
Never gv up
Team Lowasa forever
Never gv up