Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

UKAWA wasipoitumia vema nafasi walioipata wasahau kuja kupata bahati nyingine tena.

Kweli Mkuu huu ndo muda mwafaka wa kuwapumzisha mafisadi. Ccm kaa benchi kwanza mjifunze namna gani wenzenu wanaongoza nchi.
 
Hatuwezi kukubali Membe apite....hana vigezo...watanzania (chama tawala na upinzani) tunamtaka Magufuli
 
Jk is very smart, i like him.

The way he is playing his game I dont see the green party getting to october in one piece.

Though I believe it was in pieces since his nomination in 2005, but i dont see the pieces surviving the current storm
 
Pasco hujielewi. Andishi litakuhukumu.
 
Last edited by a moderator:

Umewahi kuona sehemu yoyote Mtu akashiba PESA?

Bill Gates mwenyewe pamoja na Utajiri wote analala Masaa 4 kwa siku anahangaika kutafuta PESA
 
Mwenye CCM ameshaondoka,huu msukule uliobaki unapumua duniani unafanya nini ingependeza zaidi kama ungeweza kumfuata mwenyewe ili tuliobaki duniani tuweze kupumua kwa raha zetu.
 

Na kweli hayo mavideo hayaeleweki kwa kweli
 
Wadau,

Amani iwe nanyi. Kiukweli kuna dalili fulani hivi tutaongozwa na rais mwanamke. Ndugu zangu, hamjahisi kitu kama hicho?

Kuongozwa na mwanamke hapana aisee, mi naamini na nitazidi kuamini kwamba mwanaume ndie kiongozi, popote pale, hata akiwa mwanamke mme wake ndio ata call shots
 

Umekula Maharage ya wapi weweeeee?
 
lakini ulisema lowasa lazima awe rais ndani ya ccm au nje ya ccm. vip tena mbona umeanza kugeuka?

Hili lijamaa Pasco nimelidharau sana lafaa lipuuzwe kwa Andishi lake.
Hajui kitu kazi ilikuww kujitutumua huku kwenye mitandao ili lowassa amuone anafanya kazi angalau amfikirie!
 
Last edited by a moderator:
Membe kwa mtazamo wangu hauziki
Mkuu usemayo ni kweli kabisa Membe hauziki na atakupasua Chama chake
kwani mpango uliopo ni kumfyeka Magufuli na Makamba ili embe abaki na wale kina Mama hapo atapenya Mkutano mkuu
sasa kweli kwa kashfa za Gadafi atashindanishwa na Dr Slaa kweli na kumshinda?
hapa naona Lowassa anaondoka na watu kwenda UKAWA (Membe hauziki km Wajumbe wa NEC au Mkutano mkuu walione hilo)
cc
Elungata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…