Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mwenye CCM ameshaondoka,huu msukule uliobaki unapumua duniani unafanya nini ingependeza zaidi kama ungeweza kumfuata mwenyewe ili tuliobaki duniani tuweze kupumua kwa raha zetu.

nafikiri wangeondoka wate ili kutuliza hali,lakini najua anafuata hapo.
 

I give you my word. Magufuli hapiti NEC. Hapo ni Membe na Asha Rose
 

haa haa huyo ndo lowasa kamili...
 
Naona dhana ya goli la mkono imeanza kwa maniputated....!!

Watoto wa Lowassa wanatoa povu ile mbaya...
 
Kuna haja ya kutafuta pop corn hapa mana movie bado inaendelea kwa waliokatwa
AMESHAKATWA
 
Tanzania kuchekewa mdomon kawaida sana aaaa | Olalaaa siasa mchezo mchaf tisa kumi October
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…