Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

watu wa lowasa wamekamatwa na mabegi ya pesa..walitaka kwenda kuwahonga wajumbe wa nec ili kuhakikisha membe hashindi..ni mda mfupi uliopita

lowas huwezi kushindana na kikwete

Huwezi kushindana na Membe

Wakati system ya Usalama yote sasahivi haikutaki

Lowasa rudi Monduli ukapumzike
 
Siipendi CCM, lakini tusipuuze uwepo wa baadhi ya waliotajwa katika 5 bora ukiwaondoa wanawake wale wawili na Membe. Magufuli kwa CCM naamini wameona mbali hata kwa baadhi ya wapinzani wa CCM tutaketusitake sio kichuguu rahisi
 
watu wa lowasa wamekamatwa na mabegi ya pesa..walitaka kwenda kuwahonga wajumbe wa nec ili kuhakikisha membe hashindi..ni mda mfupi uliopita

Acha upotoshaji huyo Muhindi n wa membe kakamatwa st gasper , Mimi Niko Dom n gumzo yaan membe hawamtaki na wajumbe wa MM pamoja na NEC wanahasira na JK , kwa taarifa zinaenda kupigwa kura za kukosa iman na Mkiti pia membe hawamtaki live
 
Wewe utakuwa mgonjwa si bure!! Lowassa aje ukawa?? my foot!! hapa tunaombea asipite Magufuri ili ukawa wachukue Nchi.Kama unamoenda sana huyo Looser kaungane na Babu Kingunge!!
 
huyo ndo aliyetumwa na lowasa....oneni fisadi alivyo na hila

of course sasahivi jamaa atashughulikiwa vizu

ri sana na usalama....

Alidhani akikatwa ataitikisa nchi....hahahahahaha....ngoma ndio kwanza imeanza...TAKUKURU wanambeba

Kisheria hauruhusiwi kutembea na fedha zote hizo....
 
nilitoa ahadi ya kutembea uchi nikielekea malawi kutafta hifadhi endapo lowasa angepita katika kugombea nafasi ya urais
kwa sasa nawashauri pro lowasa kama akipita membe hko kwenu mjiandae kurudisha mat-shirt ya 4u movement maana huyo jamaa anavisasi vya wazi kabisa
ila pia kwa list ilivyo kidogo magufuli anaweza himili mikiki ya upinzani ila membe ni sawa na kunywa chai na mkate...
Migiro ndo kabisa hawezi chukua nafasi hyo nyeti...
kiukweli chama kimewkwa rehani nilikua namuogopa sana mwandosya..nyerere na jaji ramadhani hawa wangetoa upinzan mkubwa ila hao waliobaki ni chai na mkate tu....
ila Amina salum Ali atumike vizuri huyu mama ata baada ya uchaguz upinzani waangalie wanampa cheo gani maana yupo vzuri sana i like her brain is bright
 
of course sasahivi jamaa atashughulikiwa vizu

ri sana na usalama....

Alidhani akikatwa ataitikisa nchi....hahahahahaha....ngoma ndio kwanza imeanza...TAKUKURU wanambeba

Kisheria hauruhusiwi kutembea na fedha zote hizo....

Hebu elewa, huyo muhindi ni wa membe na hizo pesa ni za membe. Huelewi wapi?
 
of course sasahivi jamaa atashughulikiwa vizu

ri sana na usalama....

Alidhani akikatwa ataitikisa nchi....hahahahahaha....ngoma ndio kwanza imeanza...TAKUKURU wanambeba

Kisheria hauruhusiwi kutembea na fedha zote hizo....
Sheria gani isiyoruhusu mtu kutembea na kiasi fulan cha hela??
 
Acha upotoshaji huyo Muhindi n wa membe kakamatwa st gasper , Mimi Niko Dom n gumzo yaan membe hawamtaki na wajumbe wa MM pamoja na NEC wanahasira na JK , kwa taarifa zinaenda kupigwa kura za kukosa iman na Mkiti pia membe hawamtaki live

hahahhahaa...kama hawamtaki si watamkataa kwenye kura
 
Acha upotoshaji huyo Muhindi n wa membe kakamatwa st gasper , Mimi Niko Dom n gumzo yaan membe hawamtaki na wajumbe wa MM pamoja na NEC wanahasira na JK , kwa taarifa zinaenda kupigwa kura za kukosa iman na Mkiti pia membe hawamtaki live

hapo st.gasper ni ngome ya lowasa walipofikia...mwenye shati la draft ni bashe yupo hapo na wenzake.....hiyo mipango ya kutokuwa na iman na mwenyekiti inafahamika na hilo halitatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…