Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Mbona aibu?Balali ashapanda pipa anakuja. Tunaanzisha vita
Membe ndio chaguo la CCM (baada ya kuwakataa Magufuli na Makmba)
Membe alimmaliza Kitine huko Canada na akamzima Balozi wa Gadaffi akavuta
Leo kweli atazunguka Nchi nzima kujinadi? aombee Lowassa asiende upinzani atanyanyukia
Lowassa akiwa huko atawashinda wote Dr Slaa na Membe