Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mkuu.......Kuzaliwa kwa mtu na kukulia kwa mtu ndiko ku na derive asili yake

Hata wewe uko Arusha lakini sio asili yako Mohd
Umesema Asha Rose ni mtu wa kusini nimekuuliza kusini sehemu gani badala ya kujibu unakuja na porojo.

Mimi nakuambia kwao ni Kaskazini ni Mpare.

Wewe unayemjua vizuri tuambie kusini sehemu gani.
 
Hayo ya ccm mnayajua wenyewe UKAWA ndio watatupa serekali 2015-2025 hatuwezi rudia makosa

mkuu hapa umenena vyema kabisa maana hali iliyopo huku mitaani kwa sasa baada ya kukatwa kwa jina la lowassa ni mbaya sana asee watu wamemaindi na wanaongea vibaya sana wakiweka uhakika wa kupigia kura UKAWA 100% na hili sio Mara ya kwanza iliwai tokea mwaka-2010 katika majimbo mengi tu waliyopoteza CCM mfano:jimbo la ubungo walimpitisha mama hawa Ng'umbi ambaye hakupendwa na wanaCCM hivyo waligeuka na kumpigia kura mnyika wa chadema na hatimaye alishinda kwa kishindo na kila mwenye upeo haswa ameshaona dalili za ukawa kukalia kiti kile na nakumbuka yupo mchungaji mkubwa siwezi mtaja kwa jina akiwa katika kipindi cha mfungo wa miezi miwili alioteshwa UKAWA kuchukua nchi mwaka-2015,Na hakika hili ni kosa ambalo litawatafuna CCM hadi mwaka 2025 na ikumbukwe kauli ya mwalimu Nyerere aliyosema "ATAKAYEIUA CCM NI MWANACCM MWENYEWE NA SIO MTU MWINGINE KUIUA CCM"...kwa harakaharaka tunaweza kuona hiyo kauli imetekelezwa na kikwete na ni kweli kikwete ameiua CCM ni hayo tu wakuu..Mimi ni mpinzani na nimependa sana jinsi UKAWA walivyotulia pindi hawa jamaa walikuwa wanaleta fujo za kutangaziana nia zao..thumb up:UKAWA,Hivyo mimi yangu macho tuUu jamani.
 
Habari, samahani mimi nipo nje Mada, nilikuwa nauliza hivi Upinzani ikishika dola, je madeni ya nchi inayodaiwa watayalipa au automatically yanafutwa nchi inakuwa haina deni kwani wanaotawala sio wa siku zote?? Nawasilisha.

Madeni ya nchi unalipa kama kawa, ila ya chama chakavu watalipa wao
 
ndg wanaJF,
wajumbe wa NEC wamegoma, kuna mvutano mkali sana na mpango uliopo sasa ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na CC. kuna mauza uza mengi sana lakini pia mtu mmoja anayeaminika kuwa mfuasi wa membe kakutwa na begi lenye noti za kutosha lengo ni kuwahonga wajumbe..... ntaendelea kuwahabarisha kinachoendelea

bado mnaendeleza upoyoyo wenu sio??hv kama ww unalipwa how much kwa maandishi kama haya
 
Sijakuelewa naona umekurupuka tu ukisikia neno Muislam.

Unamuelezea nani Padre Slaa au Askofu Ramadhani?

Na ninyi hamchoki kujibizana udini tu!!kha!! Subirianeni peponi au jehanamu ndio mpashane kwa vitendo,,,,
 
watu wa lowasa wamekamatwa na mabegi ya pesa..walitaka kwenda kuwahonga wajumbe wa nec ili kuhakikisha membe hashindi..ni mda mfupi uliopita


attachment.php

Aisee, dirty politics
 
Sasa mm na wewe ni nani mwenye kuweka personal feelings, maneno yako yanaonyesha direct how u favour Membe over everyone, mm sijatoa uchambuzi wa siasa nimetoa opinion yangu... at this point hahiitaji uchambuzi wa siasa kujua nani atakuwa mgombea baba, at this point anything can happen kwa hiko chama trust me, CCM can suprise you in way that utashindwa kuamini uchambuzi wako nakwambia. Usitumie sanaaa akili yako utakufa na presha relax, this people can kill u yooooo ( in nigeria's voice)

Wala sijaweka personal feelings kama unavyosema,na pia mimi sio shabiki wa Membe na wala hiyo CCM kwa ujumla. Nilichokuwekea hapo ndio hali halisii ilivyopangwa na itakavyokuwa. Ngoja tusubiri itakavyokuwa tuone.
 
Eti Lowassa ni kama Mtume......
Manyerere Jackton na Balile wanalia ile mbaya...

Mara ooh hata CDM nao walivunja katiba kwa kumfukuza Zitto na MaCCm nao ni hivyohivyo...!!
 
Last edited by a moderator:
Ccm hata wakiweka wagombea wote watano na ukawa waweke mmoja tu,ccm hawachomoki.
 
Back
Top Bottom