Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Balali ashapanda pipa anakuja. Tunaanzisha vita
Mbona aibu?
Membe ndio chaguo la CCM (baada ya kuwakataa Magufuli na Makmba)
Membe alimmaliza Kitine huko Canada na akamzima Balozi wa Gadaffi akavuta
Leo kweli atazunguka Nchi nzima kujinadi? aombee Lowassa asiende upinzani atanyanyukia
Lowassa akiwa huko atawashinda wote Dr Slaa na Membe
 
CCM lazima ife tu ....

Kwa maoni ya MaCCM na wapambe wao naowaona kupitia AZAM TV....

Ni kama wame panick sana...

Halafu hii old fashioned paranoia ya kwamba ukipitishwa ndani ya MaCCM basi wewe ni Rais, ni ujinga ambao umepitwa na wakati kabisa...!!
 
Tuta shuhudia maajabu kabla ya tatubora kuna hataria ya mchakato kuahirishwa.
 
Naskia mapolice wako maeneo ya makao makuu ya chama sasa, na kunadalili za vurugu..
Tupeni ukwel basi.. mlioko huko
 
watu wa lowasa wamekamatwa na mabegi ya pesa..walitaka kwenda kuwahonga wajumbe wa nec ili kuhakikisha membe hashindi..ni mda mfupi uliopita


attachment.php

Haaaaa namuona mhindi amepiga magiti kuomba msamaha!!! huyo angebamizwa risasi zakutosha hapohapo hawa ndo waliotufikisha hapa kwenye huu umasikini
 
nadhani nothing new japo kuna taarifa zinasambaa kuwa kwenye hotels na ukumbi wa mkutano kuna tifu. mlioko dodoma, tujulisheni kinachojiri
 
kifo chake alikiasisi Nassary Kule Arumeru,Dodoma wamehitimisha tu.Hali itatulia baada ya upepo kupita
 
dalili zote za kisayansi na kimaumbile zinaonyesha kuwa mwezi November ccm itakuwa chama cha upinzani dah kweli ni vigumu sana kwa chama kimoja kudumu zaidi ya miaka 50 madalakani ccm itaungana na wenzie wakina KANU cha kenya, FRELIMO cha msumbiji, UNIP cha Zambia, UPC cha Uganda

Japokuwa siiungi mkono CCM, mimi nakuona unaota ndoto ya mchana.

CCM wamejipanga kuanzia na zoezi la BVR huku UKAWA wamefumba macho.

Nape keshasema yake..!

Mugabe naye alishasema kuwa ni upumbavu chama tawala kushindwa uchaguzi.
 
Acha upotoshaji huyo Muhindi n wa membe kakamatwa st gasper , Mimi Niko Dom n gumzo yaan membe hawamtaki na wajumbe wa MM pamoja na NEC wanahasira na JK , kwa taarifa zinaenda kupigwa kura za kukosa iman na Mkiti pia membe hawamtaki live

hahahahaha...anaesimamia hizo kura ni nani?

Hivi ninyi ni kina nani mnapambana na Rais wa Jamhuri?
 
ndg wanaJF,
wajumbe wa NEC wamegoma, kuna mvutano mkali sana na mpango uliopo sasa ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na CC. kuna mauza uza mengi sana lakini pia mtu mmoja anayeaminika kuwa mfuasi wa membe kakutwa na begi lenye noti za kutosha lengo ni kuwahonga wajumbe..... ntaendelea kuwahabarisha kinachoendelea
 
Japokuwa siiungi mkono CCM, mimi nakuona unaota ndoto ya mchana.

CCM wamejipanga kuanzia na zoezi la BVR huku UKAWA wamefumba macho.

Nape keshasema yake..!

Mugabe naye alishasema kuwa ni upumbavu chama tawala kushindwa uchaguzi.


hata Museveni pia alisema hivyo
 
Kwa nini wamkate Lowasaa, ana wadhamini wengi, hakuna mtu ambaye ni msafi %100, wataumbuka
 
Back
Top Bottom