Lowassa baba tunakukubali sana! na tunajua wewe sio fisadi kama watu wanavyoaminishwa hapa! Binafsi sihitaji raisi ambaye ni maskini!
Raisi asiye na pesa za kutosha huwa ni msumbufu ! Atajitahidi hata bibi yake awe bilionea, na kujazana ikulu! hatutaki raisi asiye na pesa za kutosha ambaye atawafanya vitukuu wake kumiliki masemi nchi nzima na kuwa wauza unga China nakulindwa pale wanapokamatwa!
Lowassa unapesa za kutosha! tunaamini ulikua na mapenzi ya dhati kwenda ikulu! sio kuchuma pesa! wmekufanyia roho mbaya tu! Kubwa zaidi watanzania wengi wanakukubali!
Lowassa hujachelewa! tafuta sehem nyingine ya kupitia! Ingekua njema sana kama ukawa wangekupa nafasi hiyo!
Mimi sio mfuasi wa CCM, ila Lowassa namkubali! Lowasa sio fisadi! ila kwakua watanzania tumekariri kua mtu akipata utajiri mkubwa sana tunaanza kudhani kua atakua amefanya ufisadi! kama sio ufisadi watasema Freemasons.
Ukawa mkaribisheni Edo! huu ndo utakua mwisho wa CCM!