MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 760
Ni mtu wa Kusini wapi? Kazaliwa Ruvuma lakini ni Mpare, acha uongo.
Umesema Asha Rose ni mtu wa kusini nimekuuliza kusini sehemu gani badala ya kujibu unakuja na porojo.Mkuu.......Kuzaliwa kwa mtu na kukulia kwa mtu ndiko ku na derive asili yake
Hata wewe uko Arusha lakini sio asili yako Mohd
Hayo ya ccm mnayajua wenyewe UKAWA ndio watatupa serekali 2015-2025 hatuwezi rudia makosa
Sijakuelewa naona umekurupuka tu ukisikia neno Muislam.Hivi yeye ni mkristo au ni wale walioko kwenye mwezi mtukufu wa ramadhan.
View attachment 267279
the next president of tanzania
Usiwe punguani wewe angalia maisha yako isichukie Uislam matatzo yako hayajaletwa na Uislam fanya kazi.
Habari, samahani mimi nipo nje Mada, nilikuwa nauliza hivi Upinzani ikishika dola, je madeni ya nchi inayodaiwa watayalipa au automatically yanafutwa nchi inakuwa haina deni kwani wanaotawala sio wa siku zote?? Nawasilisha.
ndg wanaJF,
wajumbe wa NEC wamegoma, kuna mvutano mkali sana na mpango uliopo sasa ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na CC. kuna mauza uza mengi sana lakini pia mtu mmoja anayeaminika kuwa mfuasi wa membe kakutwa na begi lenye noti za kutosha lengo ni kuwahonga wajumbe..... ntaendelea kuwahabarisha kinachoendelea
Usiwe punguani wewe angalia maisha yako isichukie Uislam matatzo yako hayajaletwa na Uislam fanya kazi.
:clap2::clap2::clap2:matatizo ya nchi hii yameletwa na Mfumo kristo au sio Mkuu>?
Sijakuelewa naona umekurupuka tu ukisikia neno Muislam.
Unamuelezea nani Padre Slaa au Askofu Ramadhani?
watu wa lowasa wamekamatwa na mabegi ya pesa..walitaka kwenda kuwahonga wajumbe wa nec ili kuhakikisha membe hashindi..ni mda mfupi uliopita
Sasa mm na wewe ni nani mwenye kuweka personal feelings, maneno yako yanaonyesha direct how u favour Membe over everyone, mm sijatoa uchambuzi wa siasa nimetoa opinion yangu... at this point hahiitaji uchambuzi wa siasa kujua nani atakuwa mgombea baba, at this point anything can happen kwa hiko chama trust me, CCM can suprise you in way that utashindwa kuamini uchambuzi wako nakwambia. Usitumie sanaaa akili yako utakufa na presha relax, this people can kill u yooooo ( in nigeria's voice)
Naona unamatani na Rwakatale wa Chadema.Uislam umeleta ughaidi hapa nchini.