Pole sana
Kwa mtazamo huu Rais wetu ni Mhe. Pombe Magufuli.
Sababu kuu ni hizi zifuatavyo:-
1. Anao msuli wa kupambana na UKAWA
2. Hana makundi CCM (ataunganisha wana CCM hata walioumizwa)
3. Anakubalika hata upinzani
4. Anakubalika kwa wasio na vyama
5. Ana rekodi nzuri ktk utumishi wake
6. Hana tuhuma za rushwa kwenye huu mchakato
7. Hajatukana wala kumdhalilisha mgombea mwenzie
9. Hakuwa mpenda vyombo vya habari na machapisho ili kujinadi
10. Kutegemea ilani ya chama badala ya kujinasifu na maono binafsi
11. Amekuwa na low profile through out the mchakato.
12. N.k
Watu now wanawacheka team Lowassa ..
tumesahau kuna team Makongoro nao wanastahili pole za kutosha tu
Kwa kweli hiki kilio ni kikuubwa sana
Halafu kuna team Mwigulu ya kina Shonza na Mtella mwampamba
dah.....huu msiba ni mkubwa mno kumbee
poleni saana.....sasa tutazame yajayo
Kura za kutokuwa na imani ndio mpango unaofuata na EL amesema yeye hahami
Wangekua wanapambana hivyo kutetea masilahi ya Nchi tungekua mbali sana, hapo naona kila mmoja anatafuta masilahi yake tu.ndg wanaJF,
wajumbe wa NEC wamegoma, kuna mvutano mkali sana na mpango uliopo sasa ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na CC. kuna mauza uza mengi sana lakini pia mtu mmoja anayeaminika kuwa mfuasi wa membe kakutwa na begi lenye noti za kutosha lengo ni kuwahonga wajumbe..... ntaendelea kuwahabarisha kinachoendelea
Tatizo la Kingunge ameshaside, hatasema lolote analotaka kusema.Kingune anahojiwa na Charles Hilary wa AZAM Tv...
Anasema wao wana uzoefu wa muda mrefu...
Anasema tofauti na miaka ya nyuma mchakato wa mwaka huu una mambo ya ajabu tokana na kauli za viongozi wa chama makao makuu na wale walioko Serikalini...
Pole sana The Boss kama ulidhani Makongoro alikuwa anautaka Ugombea Urais wa CCM kwa dhati. Makongoro alikuwa ni proxy soldier alitanguliza kuja kumrarua Lowasa kwa kuzungumza yale viongozi na wazee wa Chama waliyoshindwa kuongea hadharani/majukwaa dhidi ya uchafu wa Lowasa. Ameshamaliza kazi aliyotumwa sasa hivi anasubiri ahsante yake.
kikafie huko mbali hicho kizee....Kingune anahojiwa na Charles Hilary wa AZAM Tv...Anasema wao wana uzoefu wa muda mrefu...Anasema tofauti na miaka ya nyuma mchakato wa mwaka huu una mambo ya ajabu tokana na kauli za viongozi wa chama makao makuu na wale walioko Serikalini...
Japokuwa siiungi mkono CCM, mimi nakuona unaota ndoto ya mchana.
CCM wamejipanga kuanzia na zoezi la BVR huku UKAWA wamefumba macho.
Nape keshasema yake..!
Mugabe naye alishasema kuwa ni upumbavu chama tawala kushindwa uchaguzi.
Kwa mtazamo huu Rais wetu ni Mhe. Pombe Magufuli.
Sababu kuu ni hizi zifuatavyo:-
1. Anao msuli wa kupambana na UKAWA
2. Hana makundi CCM (ataunganisha wana CCM hata walioumizwa)
3. Anakubalika hata upinzani
4. Anakubalika kwa wasio na vyama
5. Ana rekodi nzuri ktk utumishi wake
6. Hana tuhuma za rushwa kwenye huu mchakato
7. Hajatukana wala kumdhalilisha mgombea mwenzie
9. Hakuwa mpenda vyombo vya habari na machapisho ili kujinadi
10. Kutegemea ilani ya chama badala ya kujinasifu na maono binafsi
11. Amekuwa na low profile through out the mchakato.
12. N.k
Si ndio hivyohivyo hua wanachakachua Nchi pale bungeni, sasa wanashangaa nini?Kingune anahojiwa na Charles Hilary wa AZAM Tv...
Anasema wao wana uzoefu wa muda mrefu...
Anasema tofauti na miaka ya nyuma mchakato wa mwaka huu una mambo ya ajabu tokana na kauli za viongozi wa chama makao makuu na wale walioko Serikalini...
Mkuu nataka Padre Slaa achukue nchi.Mkuu.....vipi unatamani kuimba kwaya>?