Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kingune anahojiwa na Charles Hilary wa AZAM Tv...

Anasema wao wana uzoefu wa muda mrefu...

Anasema tofauti na miaka ya nyuma mchakato wa mwaka huu una mambo ya ajabu tokana na kauli za viongozi wa chama makao makuu na wale walioko Serikalini...
 
Kanda ya ziwa ina wapiga kura wengi kuliko sehemu nyingine yoyote.
Kwa mtazamo huu Rais wetu ni Mhe. Pombe Magufuli.
Sababu kuu ni hizi zifuatavyo:-
1. Anao msuli wa kupambana na UKAWA
2. Hana makundi CCM (ataunganisha wana CCM hata walioumizwa)
3. Anakubalika hata upinzani
4. Anakubalika kwa wasio na vyama
5. Ana rekodi nzuri ktk utumishi wake
6. Hana tuhuma za rushwa kwenye huu mchakato
7. Hajatukana wala kumdhalilisha mgombea mwenzie
9. Hakuwa mpenda vyombo vya habari na machapisho ili kujinadi
10. Kutegemea ilani ya chama badala ya kujinasifu na maono binafsi
11. Amekuwa na low profile through out the mchakato.
12. N.k
 
Watu now wanawacheka team Lowassa ..
tumesahau kuna team Makongoro nao wanastahili pole za kutosha tu
Kwa kweli hiki kilio ni kikuubwa sana

Halafu kuna team Mwigulu ya kina Shonza na Mtella mwampamba
dah.....huu msiba ni mkubwa mno kumbee

poleni saana.....sasa tutazame yajayo

Pole sana The Boss kama ulidhani Makongoro alikuwa anautaka Ugombea Urais wa CCM kwa dhati. Makongoro alikuwa ni proxy soldier alitanguliza kuja kumrarua Lowasa kwa kuzungumza yale viongozi na wazee wa Chama waliyoshindwa kuongea hadharani/majukwaa dhidi ya uchafu wa Lowasa. Ameshamaliza kazi aliyotumwa sasa hivi anasubiri ahsante yake.
 
Kura za kutokuwa na imani ndio mpango unaofuata na EL amesema yeye hahami

Nimekuuliza swali...Hizo kura zitaitishwa katika kikao gani?

Nani atakuwa mwenyekiti wa hiko kikao hicho
 
Kingunge anasema...

Kamati kuu wamepewa orodha ya wagombea na kazi yao ilikuwa ni kupitia na kutazama na kuwapima na kuwalinganisha na kisha kutoa mapendekezo...

Kamati kuu hawana madaraka ya kutoa maamuzi....!!
 
ndg wanaJF,
wajumbe wa NEC wamegoma, kuna mvutano mkali sana na mpango uliopo sasa ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na CC. kuna mauza uza mengi sana lakini pia mtu mmoja anayeaminika kuwa mfuasi wa membe kakutwa na begi lenye noti za kutosha lengo ni kuwahonga wajumbe..... ntaendelea kuwahabarisha kinachoendelea
Wangekua wanapambana hivyo kutetea masilahi ya Nchi tungekua mbali sana, hapo naona kila mmoja anatafuta masilahi yake tu.
 
Kingune anahojiwa na Charles Hilary wa AZAM Tv...

Anasema wao wana uzoefu wa muda mrefu...

Anasema tofauti na miaka ya nyuma mchakato wa mwaka huu una mambo ya ajabu tokana na kauli za viongozi wa chama makao makuu na wale walioko Serikalini...
Tatizo la Kingunge ameshaside, hatasema lolote analotaka kusema.
 
Pole sana The Boss kama ulidhani Makongoro alikuwa anautaka Ugombea Urais wa CCM kwa dhati. Makongoro alikuwa ni proxy soldier alitanguliza kuja kumrarua Lowasa kwa kuzungumza yale viongozi na wazee wa Chama waliyoshindwa kuongea hadharani/majukwaa dhidi ya uchafu wa Lowasa. Ameshamaliza kazi aliyotumwa sasa hivi anasubiri ahsante yake.

Makongoro aliifanya kazi yake vizuri sana

Job well done
 
Kingune anahojiwa na Charles Hilary wa AZAM Tv...Anasema wao wana uzoefu wa muda mrefu...Anasema tofauti na miaka ya nyuma mchakato wa mwaka huu una mambo ya ajabu tokana na kauli za viongozi wa chama makao makuu na wale walioko Serikalini...
kikafie huko mbali hicho kizee....
 
Japokuwa siiungi mkono CCM, mimi nakuona unaota ndoto ya mchana.

CCM wamejipanga kuanzia na zoezi la BVR huku UKAWA wamefumba macho.

Nape keshasema yake..!

Mugabe naye alishasema kuwa ni upumbavu chama tawala kushindwa uchaguzi.

mkuu kama ktk mistake kubwa walioifanya ccm ni kuruhusu mfumo huu ktk uchaguzi huu thanx kwa aliewapeleka chaka hili.
Kwanza BVR features include

a full range of biometric parameters to identify the votes by fingertips, iris, voice etc

highly customizable software module's for both of input and output settings

comprehensive data logs and reports voters activities monitoring

highest level of security settings for data protection

BVR is provide the highest voters safety and preventing election fraud

BVR is one person one vote .

katika nchi mbalimbali afrika zilizotumia mfumo huu ktk uchaguzi mabadiliko ya vyama kuingia madalakani yamefanyika mfano Kenya, Ghana, Nigeria, Malawi.

hapo cha kujiuliza ni ile BVR machine iliyoibiwa mwanza imepelekwa wapi? ilo ndo swali la ukawa kujiuliza.
 
Kwa mtazamo huu Rais wetu ni Mhe. Pombe Magufuli.
Sababu kuu ni hizi zifuatavyo:-
1. Anao msuli wa kupambana na UKAWA
2. Hana makundi CCM (ataunganisha wana CCM hata walioumizwa)
3. Anakubalika hata upinzani
4. Anakubalika kwa wasio na vyama
5. Ana rekodi nzuri ktk utumishi wake
6. Hana tuhuma za rushwa kwenye huu mchakato
7. Hajatukana wala kumdhalilisha mgombea mwenzie
9. Hakuwa mpenda vyombo vya habari na machapisho ili kujinadi
10. Kutegemea ilani ya chama badala ya kujinasifu na maono binafsi
11. Amekuwa na low profile through out the mchakato.
12. N.k

Absolutely Right.
 
Kingune anahojiwa na Charles Hilary wa AZAM Tv...

Anasema wao wana uzoefu wa muda mrefu...

Anasema tofauti na miaka ya nyuma mchakato wa mwaka huu una mambo ya ajabu tokana na kauli za viongozi wa chama makao makuu na wale walioko Serikalini...
Si ndio hivyohivyo hua wanachakachua Nchi pale bungeni, sasa wanashangaa nini?
 
Back
Top Bottom