Tuliliona hili mapema na kusema ukweli i was really dissapointed. Hivi tuseme chama cha mapinduzi na wazee wote hawa hawakuforesee hili eti unamtoa Lowassa alafu unamuacha Membe??????
Hivi walitegemea nini????
Kama umemtoa Lowassa lazima Membe nae atoke ili nchi itulie. Ila if it happens Membe anabaki basi its either of the two system i collapse au yatokee machafuko na basi nchi wapewe wapinzani.
Kikwete anatakiwa ajue kuwa muda wa kuweka mazingira mazuri na ya amani kwa kustaafu kwake ni huu. Yaani leo huku kila sehemu napita watu wanasema Lowassa kakatwa Membe kabakishwa na wanaamini ni influence ya Familia ya MKUU kwa sababu Membe na Migiro wote ni watu wa karibu na familia ya mkuu.
Honeslty hali sio nzuri ndugu yangu, hawa jamaa maamuzi yao yanaliangusha taifa rasmi. Tuombeni.[/QUOTE
Hakika Huwa Najivunia Sana Kuwa Na Watu WANAOJUA KUFIKIRI Na WENYE AKILI KAMA Wewe Humu JF. Mkuu Nimependa Ulichokisema Heko!