Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kingunge anasema anaona mpasuko ndani ya MaCCM wasipochukua tahadhari...

Anasema ikitokea mtu au kundi linalodhani chama ni chao binafsi basi chama chao kitakufa...

Wakiweka mgombea ambae hakubaliki ndani na nje ya chama tutapigiwa kura za hasira...
 
Uliyoyafanya ni mengi.

Tukianzia na St Thomas, tukaja kwenye uteuzi wa jk, na kwenye kampeni za Lowasa!. Bila shaka dunia ya mafisadi itakukumbuka. Mafisadi walikupenda lakini Mungu ameipenda zaidi Tanzania.

Ulitoka Msumbiji, na msumbiji utarudi.

Mzee upumzike kwa utulivu.

Mwovu mwisho wake ni anguko la aibu, kwaheri babu
 
Hakuna mjumbe wa Ccm zaidi ya lowasa mwenyewe ambaye anaweza kusema hana imani na Jk hakuna coz whatver atakaye sema hilo ana majanga makubwa hizo ni mbwembwe tuu hakuna mjumbe anayeweza kusema hana imani na Jk

Wee madenge hukumsikia nchimbi?Sophia je?Adam kimbisa
 
Hamkuitendea haki kwasababu hata uchaguzi weñu siyo wa haki lakini mmekosa kabisa kumuenzi mzee Nyerere (Muasisi) wa Taifa hili, ila mliweza kumuenzi muasisi mwenzie (Mzee Karume). Sijuhi ni kwanini lakini kuhiusisha familia hii alafu mkaamua kuweka kwa masrahi ya mtu taswira yake si nzuri hata kidogo, mmeifedhehesha sana na hata sie Tanganyika mtutia simanzi sana kumuacha Mako. Yawezekana alikuwa na mapungufu lakini nikiangalia hata hawa mliowaweka ukimwondoa Magufuri sioni kama wanazo sifa kweli, lakini kisiasa na ki historia mlitakiwa kujua hawa watu kama vigezo vikilingana basi familia hii ilitakiwa kupewa kipa unbele. Tunaweza tukaziacha na tukahoji kuhusu familia zetu zingine za wanasiasa hapa Tz lakini kuiacha hii nyuma kiasi hiki si sawa, kipelekeni mnavyotaka chama lakini mlitakiwa kuelewa sasa hivi mnaenjoy na kurukaruka si kwasababu mlikuwa na uwezo huo bali ni kwasababu Mzee Nyerere aliwaandalia maisha na hats wengine aliwasaidia kwa kuwalea na kuwashika mkono lakini leo nyinyi hakumbuki wala hamtaki kusikia.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Uraisi c Ubunge...aende jimboni kkwake akagombee ubunge... (baba wa taifa)
 
Atakuwa na kesi ya kujibu. Akamatwe kwa kesi ya Richard tu. Na awekwe lubango hadi kazi imalizike. Nashauri 'Wapigwe tu' Pinda
 
huyo jamaa na mtu wake wamefika wapi, ameingia tano bora? Hilo ni kundi la mafisadi, turejea Ubongo terminal. Tulitegemea kwa umri wake awe mshauri leo tunashudia kupapambana kumsaidia fisadi mwenzake.

Maine kupata mstuko wa moyo wakati rufaa ya lowasa itakapo kubalika na kuingia kundini
 
acheni uzushi bana,eti Member akatwe tu kwakuwa Lowasa kakatwa! MTU fisadi na chama kilishamuita fisadi akakubali kujiuzulu,akaitwa gamba kwann asikatwe? mwacheni Member apeperushe bendera ya chama.eti lowasa arudishwe hyo will be a grave mistake to ccm
 
Kweli watanzania tumerogwa au Mungu wetu amelala au akilizetu zina matatizo
 
huyo jamaa na mtu wake wamefika wapi, ameingia tano bora? Hilo ni kundi la mafisadi, turejea Ubongo terminal. Tulitegemea kwa umri wake awe mshauri leo tunashudia kupapambana kumsaidia fisadi mwenzake.

Msipatwe na pressure mkisikia lowasa anaipeperusha bendera ya jembe na nyundo
 
Kama kuna mtu alifikiri kwamba EL angepita 5 bora basi siyo mfuatiliaji mzuri wa siasa za CCM. Nape Mnauye alikuwa anapayuka au anatumwa? Juzi Nape alimjibu Kingunge kwamba yeye hawezi kumjibu (Kingunge) ila anayetuma atamjibu. Nani anamtuma Nape. Ukitukanwa na mtoto mbele ya baba yake na akakaa kimya ujue katumwa na mzazi wake. Kama wajumbe wakiamua kupiga kura za hasira hilo ni jambo lingine ila sidhani.
 
Back
Top Bottom