Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Walitakiwa wote wawili wasiingie. Sasa kumpitisha membe inaonekana ni mpango wa kifamilia zaidi. Hata mimi ningekuwa lowassa ningekataa. Wangekatwa wote. Period
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili zako kabisa,unaona Mako alikuwa serious anautaka urais?
E.lowassa kukatwa sawa sawa kabisa ila pia Membe nae alitakiwa akatwe kwa sababu matendo mengi aliofanya EL na Membe kayafanya hivyo membe nae alishapoteza sifa(ninajiuliza kwa nini membe kapitshwa
Naona mtoa mada ww ni Team Lowassa bila kupinga
Hapo tungekuwa tunamteua MWENYEKITI wa bodi ya uhasibu tungesems;Balance sheet ya Bodi(CCM) imegoma ku-balance,yaani LIABILITY IS GREATER THAN ASSETS.CCM Asset was MAKONGORO while Liability was Membe and Lowassa.
me ndo nmefurahi hapa nausubiri mchepuko Wang tuchapane saaana kwa furaha
Kwa vyovyote vile ccm wanaingia tena ikulu na ugumu wa maisha utakuwa mara mbili ya hali ilivyo kwa sasa!
Kamanda mimi nimefurahi zaidi ya saaaana! Rais gani anahonga hadi wadhamini alafu anatuahidi kukomesha rushwa!? Marafiki zake ni Chenge , Tibaijuka, Rostam na........!!! Tafakaruni watanzania!
Kuna watu niliwaambia kuwa jamaa hafai, wakaniwakia kinyama. Niliwaambia kwa macho meupe kuwa huyu Bw. ENL sio mzalendo kwa taifa na anaonea watu, walinivimbia, nadhani sasa wamenyamaza kimya kama ambavyo nami ningenyamaza kimya kama angepitishwa