Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais


umeelewa nimesema siasa zipi mkuu?

Au unakurupuka na kutukana tuuuuuuuuuuuuuu

Relax mkuu...Maumivu yakizidi kamtafute Daktari
 
Lowasa angegombea urais akiwa CCM asingepata. Wamempa nafasi ya kuwa rais kama vile kwenda ghorofa ya 250 kwa lift badala ya kupanda ngazi. Kinachochukiwa ni CCM na baadhi ya viongozi waliomo humo. Hata mimi nimefurahia sana kukatwa kwake kwa sababu nitakwenda kumchagulia kwenye chama atakachohamia.
 
kwa ushauri wangu popote pale ulipo mh zitto kwabwe (act wazalendo) naomba umchukue huyu nguri wa siasa mh lowasa. hakika nakwambia chama chako kitakua sana. zingatia sana ushauri wangu maana huyu jamaa anawafuasi wengi. sina ziada!!

Mkuu, kuna thread niliweka hapa from BBCSwahili iliyosema kuwa Mh. Lowassa baada ya kutemwa na Mh. Zitto amekubali na yuko radhi kumwachia, ila moderators wameitoa!

Try to visit BBC Swahili tweet.
 
Hao vijana wamebug step! Edo will not help them zaidi ya kuidhoofisha CCM. Wajiunge tu na UKAWA huko anaokohamia Edo hakuna future
 
wewe baki huko huko CCM mama....ungejua wewe ndio chachu ya mabadiliko ungeyapeleka huko lakini hujajitambua bado

Na bado haujajua thamani yako

Nimeamua kuwa chachu ya mabadiliko ndani ya CCM. lakini pia CCM si baba yangu wala mama yangu so kama ikifika mahali nikiona kuna chama ambacho kinaonesha nia ya dhati ya kumkomboa mtanzania toka kwenye umaskini basi nitajaribu kujiunga nacho. Kwa sasa upinzani bado.
 
Lowasa hawezi kata tamaa mapema kiasi hicho wakati vikao viwili vyaweza mbeba
 
watch live stream mkutano wa halmashauri kuu ya CCM ili kumpata mgombea atakayepeperusha bendera yetu uchaguzi mkuu 2015 hapa CCM 2015
 
mtazamo wangu na utabiri kutokea ni kuwapo kwa miungano wa vyama vipya kutoka ccm huenda team lowasa na baadh ya vigogo kuanzisha chama chao cha siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…